Nafundisha computer Applications & Maintanance,Web Design,Bitcoin/Altacoins/tokens/cryptocurrency knowledge kwa ujumla

Asano

Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
53
Reaction score
170
Habari wana JF, Naitwa SAM.

Nafundisha Computer Applications ( Computer Basics,Maintanance,Excel,Word,Power point,Publisher,Internet & Emails) & Computer Maintanance(Repair, Windows Installation, assemble and disassemble), kutengeneza website kwa kutumia wordpress au wix, hata kama hujui programming utaweza tu, Ideas za Bitcoin(Bitcoin ni nini, unawezaje ku-invest in Bitcoin, Platform zipi ni rahis kufanyia biashara ya Bitcoin.

Pia utapata kujua kiundani kuhusu tokens na Altacoins knowledges (crowdfunding,crowdsale,airdrop,baunty campains,Initial Coin Offering-ICO/STO) na mengineyo mengi.

Usiachwe nyuma kwenye ulimwengu huu wa cryptocurrency,Karibuni sana nyote.

Kwa wenye uhitaji,maelezo zaid ni PM.
 
Hizi terms sizielewegi kwenye cryptocurrency

~ proof of work
~ proof of stake
~ pure proof of work
 
Kwa wenye uhitaji,maelezo zaid ni PM.
Kwa nini iwe PM wakati sasa hivi chini ya mama yetu,binadamu mwenzetu tuko huru kujadiliana nuruni sio kizani kama enzi za mwendazake aka SADIST
 
Back
Top Bottom