Bobea kwenye masomo ya PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS kwa A LEVEL, na PRE- FORM V.
Tunafanya na home Teaching pia
Mawasiliano: 0782044028 (Whatsapp)
0625012562
Mkuu nakushauri ungejieleza upo wapi CV ako n.k, sasa ukiandika tu hivi kama vile JF wote tupo mtaa mmoja ni ngumu sn kupata msaada rafiki angu. Jazia nyama kidogo watu wanaweza kukusaidia kwa namna moja ama nyingine