Nafundisha physics, natafuta kazi

Nafundisha physics, natafuta kazi

mwasakujonga-

New Member
Joined
Jan 23, 2023
Posts
4
Reaction score
3
Habari za wakati huu ndugu walimu na Watanzania wenzangu,

Naitwa Mwl. Emmanuel, naomba kama kuna mtu anafahamu shule yoyote inayohitaji mwalimu wa masomo ya physics na chemistry, advanced level & na o'level anijulishe, nipo tayari kufanya kazi kwa weledi na ufanisi ili kufikia malengo ya taasisi husika.

Nipo Mbeya ila mahali popote tafika kufanya kazi.

Natanguliza shukrani zangu za dhati na Mungu awabariki.

Contacts: 0658316128

Share is caring.
 
mahali popote tafika.
hapo tu mashaka tayari
 
Mm nafundisha Advanced Mathematics kama kutakuwa na shule inahitaji mwalim wa somo hilo nipo tayali wakuu
 
Ungefundisha physics na basic maths ningesema tuma taarifa zako chap
Uko sahihi kabisa> Kawaida Chemistry inalipa zaidi inapokuwa imeambatana na Biology, na Physics inalipa zaidi inapokuwa imeambatana na Maths. Baada ya hizi combinations, Physics and Chemistry ndiyo inafuata
 
Back
Top Bottom