mwasakujonga-
New Member
- Jan 23, 2023
- 4
- 3
Mkuu mie nayapiga hayo niambie nitume chap. Tena najitolea ili watoto watoe majibu wenyeweUngefundisha physics na basic maths ningesema tuma taarifa zako chap
Awe mtalamu wa physics kisha ashindwe namba, hapo kuna walakini.Ungefundisha physics na basic maths ningesema tuma taarifa zako chap
number o level nafundisha lkn advance HapanaAwe mtalamu wa physics kisha ashindwe namba, hapo kuna walakini.
math naweza fundisha kwa O-level pekeeUngefundisha physics na basic maths ningesema tuma taarifa zako chap
Toa namba tuwasiliane japo kwa kifupi.math naweza fundisha kwa O-level pekee
Kuna English medium wanataka mwalimu wa sayansi primaryMm nafundisha Advanced Mathematics kama kutakuwa na shule inahitaji mwalim wa somo hilo nipo tayali wakuu
Poa poa mzeeKuna English medium wanataka mwalimu wa sayansi primary
Unamtaka auPoa poa mzee
Uko sahihi kabisa> Kawaida Chemistry inalipa zaidi inapokuwa imeambatana na Biology, na Physics inalipa zaidi inapokuwa imeambatana na Maths. Baada ya hizi combinations, Physics and Chemistry ndiyo inafuataUngefundisha physics na basic maths ningesema tuma taarifa zako chap
Tumia akili mzee kutafuta pesa sio unatumia akili kufanya upumbavuUnamtaka au