Nafundisha Watanzania kuogelea, bila malipo!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Kama mchango wangu kwa jamii yangu, natoa mafunzo ya kuogelea bila ya malipo lkn siyo bure, karibuni wapendwa wote, ila vazi la kuogelea, usafiri wa kufika juu yako, nafanyia Jangwani beach Kaskazini mwa Dar, Jimbo la H.Mdee!

Nawapenda wote watu wangu, muda Jumapili 1600-1800, ...
 
Mh unalako jambo[emoji81][emoji81][emoji81]
 
Picha kwanza ukiwa unaogelea tuone
hamchelewi kutuzamisha kwenye maji nyie kisha mseme tulizama kumbe ilikuwa mission
 
Kama mchango wangu kwa jamii yangu, natoa mafunzo ya kuogelea bila ya malipo lkn siyo bure, karibuni wapendwa wote, ila vazi la kuogelea, usafiri wa kufika juu yako, nafanyia Jangwani beach Kaskazini mwa Dar, Jimbo la H.Mdee!

Nawapenda wote watu wangu, muda Jumapili 1600-1800, ...
Bado IPO hii??
 
Back
Top Bottom