Nafunga Drip Irrigation, Mulching paper kwenye matuta, Dam Liner, Hydroponic, Greenhouse, na Sprinkler

blogspot

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Posts
1,268
Reaction score
1,143
Rejea kicha cha Uzi huu Mimi ni mwanafunzi wa SUA fani ya Uhandisi Wa Maji na Umwagiliaji.

Nina uzoefu wa miaka minne kwenye Nyanja hizi:

Kufunga mifumo ifuatayo

1.Drip irrigation
2.Sprinkler irrigation
3.Dam liner (Kwenye mabwawa ya samaki)
4.Greenhouse
5.Mulching paper
6.Hydroponics systems
7. Furrow irrigation.
8. Designing of furrow, drip, Greenhouse

Uzoefu niliupata tangu mwaka wa kwanza nilipoanza kwenda site mpaka sasa.

Mikoa niliyofika ; mikoa Kigoma, Mbeya, Njombe, Songea, Morogoro, Nkuranga,Moshi na Arusha.

Mawasiliano: kazinionly@gmail.com
 
Hongera sana, may be nikakuhitaji soon,
Naomba kujua changamoto za irrigation system source ya maji ni kisima kirefu 100 mtrs
ukimwagilia maji shambani kwa mpira wa kawaida baada ya km mwezi pakikauka panapauka inaiona chumvi chumvi juu ya udongo lakini hayo maji kwa kunywa huisikii kbs chumvi na tunayanywa kama kawaida..

Je ni nini madhara yake km migomba na parachichi ?
Je unaweza kuimalizaje hiyo changamoto ?
 
Rejea kicha cha Uzi huu Mimi ni mwanafunzi wa SUA fani ya Uhandisi Wa Maji na Umwagiliaji.

Nina uzoefu wa miaka minne kwenye Nyanja hizi:

Kufunga mifumo ifuatayo

1.Drip irrigation
2.Sprinkler irrigation
3.Dam liner (Kwenye mabwawa ya samaki)
4.Greenhouse
5.Mulching paper
6.Hydroponics systems
7. Furrow irrigation.
8. Designing of furrow, drip, Greenhouse

Uzoefu niliupata tangu mwaka wa kwanza nilipoanza kwenda site mpaka sasa.

Mikoa niliyofika ; mikoa Kigoma, Mbeya, Njombe, Songea, Morogoro, Nkuranga,Moshi na Arusha.

Mawasiliano: kazinionly@gmail.com
Niko milima ya upare. Tunafanyaje?
Mashamba yangu yote yana terrace za kutosha na maji yapo.
Tangawizi zinahitaji sana drip irrigation.
Weka namba zako
 
Back
Top Bottom