Hongera sana, may be nikakuhitaji soon,Rejea kicha cha Uzi huu Mimi ni mwanafunzi wa SUA fani ya Uhandisi Wa Maji na Umwagiliaji.
Nina uzoefu wa miaka minne kwenye Nyanja hizi:
Kufunga mifumo ifuatayo
1.Drip irrigation
2.Sprinkler irrigation
3.Dam liner (Kwenye mabwawa ya samaki)
4.Greenhouse
5.Mulching paper
6.Hydroponics systems
7. Furrow irrigation.
8. Designing of furrow, drip, Greenhouse
Uzoefu niliupata tangu mwaka wa kwanza nilipoanza kwenda site mpaka sasa.
Mikoa niliyofika ; mikoa Kigoma, Mbeya, Njombe, Songea, Morogoro, Nkuranga,Moshi na Arusha.
Mawasiliano: kazinionly@gmail.com
Niko milima ya upare. Tunafanyaje?Rejea kicha cha Uzi huu Mimi ni mwanafunzi wa SUA fani ya Uhandisi Wa Maji na Umwagiliaji.