Nafungua Duka la jumla, Naomba tupeane uzoefu

Nafungua Duka la jumla, Naomba tupeane uzoefu

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
nina mil 15 kama kianzio,ninampango wa kufungua duka la jumla la vitu mbali mbali kama unga,sabuni,maji,vocha,sabuni n.k...nipo kimara

mwenye uzoefu na biashara hii naomba aniambie changamoto zake,process za kufuata ili kuletewa mizigo dukani kwako kama wanavyofanya azam,na pia bidhaa hizi zinapatikana wapi kwa bei nafuu.

naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom