kancher
JF-Expert Member
- Dec 19, 2015
- 469
- 467
Habari zenu waungwana,
Natarajia kufungua duka la nguo siku ya leo mkoa wa Manyara, wilaya ya Babati ( Magugu).
Naomba msaada wa yafuatayo:-
Natarajia kwenda Dar wiki ijayo, mwenye connection na wauzaji wa jeans na track kwa jinsia zotekwà bei ya jumla.
Pia mwenye connection ya wauzaji wa viatu vya special vya kisasa kwa jinsia zote bei ya jumla pia.
Pia connection kwa wauzaji wa nguo na viatu vya mtumba grad one, lakini hizi tachukua kwa awamu ya pili baada ya kurudi tena kuchukua mzigo.
Pia naomba connection ya usafiri mimi pamoja na mizigo, au ushauri njia ipi ni nzuri kwa kusafirisha mizigo yangu kwa usalama na nafuu.
Ratiba yangu natarajia kuondoka alhamisi tar 20 usiku na kugeuka kurudi huku tar 23 jumapil mwezi huu wa August.
Nitashukuru kwa atakayenipa ushirikiano [emoji122]