Alya Tariq
Member
- Dec 15, 2015
- 19
- 5
kivipiSawa karibu...mcheki invisible akupeleke jukwaa pendwa
ila uwe mvumilivu, kuna mafunzo na ushauri na elimu nzuri pia kejeli na matusiHabari wapendwa nimefurahi kuwa member natumai ntajifunza mengi haswa
Wacha weeFemale,miaka 20@ekyoma
Sawa karibu...mcheki invisible akupeleke jukwaa pendwa
Kama hawa wapo pia, uwe na moyo wa kuwavumilia!Jinsia gan kwanza na una miaka mingap
Hahahaaa mkuu vipi? Changamkia tenda hiyo asije akaiwahi @aspirinWacha wee
Ni PM no yako nikufundishe maujanja ya huku fastaFemale,miaka 20@ekyoma
Mkuu unazinguaKama hawa wapo pia, uwe na moyo wa kuwavumilia!
Habari wapendwa nimefurahi kuwa member natumai ntajifunza mengi haswa