Nafurahi sana kuwa mwanachama rasmi!

Gemini Are Forever

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2019
Posts
1,508
Reaction score
2,619
Hello members, Good evening!

Nimekuja hapa nikiwa na furaha tele. Kwa muda sana nimekuwa mfuatiliaji katika jukwaa hili tangu 2016... Kutokana na michango mbali mbali ya jukwaa hili nimeonelea niwe mwanachama rasmi.

Hawa wafuatao wamenishawishi pia kujiunga.

Mshana Jr

CHASHA FARMING

Chief-Mkwawa

CONTROLA

GLOBAL CITIZEN

na wengine wengi, list ni ndefu!!

~SHOUT OUT ALL~
 
Asante kwa ukaribisho mkuu @Yamakangashi

mkuu kuhusu ku tag heb rejea kwamb mm si mgeni wa hili jukwaa ila tu sikuwa member rasmi. Kwa hiyo ninaijua vyema JF!
 
Sikuona hiii engimaaa, umekuja muda kumbeee sheeeeh mbona hukunifata kuniambia?

karibu sana huku wapo kina mzee lomayaniiii wapo, mzee engutoto nae yupooo ni wewe tu ulichelewa

sasa engimaaa loshoroo yangu hujaniambia iko wapi atiii, karibu sana sana ENGIMA30
 
mjr95

😡 😡 😡

Kwani wamasai unawachukuliaje mkuu? Kwa taarifa yako ni watu unique sana sema tu life style yao ndo inawafanya wachukuliwe poa.

By the way... kwan mi Maasai mkuu?

Asante kwa ukaribisho pia, BLESSED MORE!
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Mshana Jr bwana...! Eti great sinkers!

Kwa hyo ramli yako inanichukuliaje mkuu?

Mimi GT au GS?
 
Babu Ulimakafu asante kwa ukaribisho. Nafurahi sana kuja kuwa miongoni mwa wanaopata hekima na busara kutoka kwenu wala chumvi nyingi.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Asante kwa mapokezi mkuu CONTROLA

"Sehemu ambako hakuna ndugu yako (mfano, MJINI au USWAHILINI) ni sawa na porini" Alisikika mzee mmoja hv wa kimasai.

Baada ya kuwaona akina Lomayani na wengineo basi nikagundua kuwa JF ni nyumbani (kwa mujibu ya yule mzee).

kuhusu loshoroo... Ooopps... nenda "JF Chef" akina mamayoyo1, @esiangiki, na masai dada ndo wanahusika na mahanjumati kama hayo.

ila ujue nin... huwa unanifurahishaga unavyowa CONTROL kule kwenye biashara.

~LIVE LONG~
 
Alvin A. ... Shee! hifi kumbe mimi nahangaika leo siku ya tatu natafuta mali yangu kumbe imeiba wewe? hifi imepata wapi hyo ng'ombe sangu?

Engelay dwoo atejo, nitatuma jeshi langu almaaruf kam NYANGULO waje kufanya pulesheni kabambe huko mijini maana hao ng'ombe mlionao huko ni wa kwetu.

pulesheni = Operation (in maasai pronounciation)

Asante kwa ukaribisho pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…