Nafurahi sana kuwa mwanachama rasmi!

😡 😡 😡 CHAPUTA!?

Ndio chama gani hcho? ndio mara ya kwanza kuisikia hiki chama.

Kinahusu nini mkuu?

πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› JF bwana...!
Hv huwa mnafikiria nini? Au nyie ndo wale Mshana Jr anawaita "GREAT SINKERS"

Asante kwa reception mwana CHAPUTA ngebo
 
Tapala!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
 
Asante kwa ukaribisho mkuu Watu8 huwa na-appriciate sana uwepo wako kwenye jukwaa fulani.

Ila... mi tangu nifike hapa mjengoni siulizwa natumia kinywaji gan...

Waweza kunihudumia?
 
MLEVi Mmoja said:
Yeyoo

Nakalaito nakalaito sumata

Mkuu sijakuelewa...
Mwambie anayekufundisha akaze buti, bado sana kuongea hcho kilugha.

Asante kwa reception pia.
 
MLEVi Mmoja said:
Nifundishe mkuu
Ashinaleii = Ashe naleng'

Ashe = Shukrani/Asante
Naleng' = sana

pia waweza sema "Ashe tukul"

tukul = sana

kwa hyo neno "sana" waweza kutumia kwa kusema "tukul" ama "naleng"

Karibu tena.
 
Ashinaleii = Ashe naleng'

Ashe = Shukrani/Asante
Naleng' = sana

pia waweza sema "Ashe tukul"

tukul = sana

kwa hyo neno "sana" waweza kutumia kwa kusema "tukul" ama "naleng"

Karibu tena.
Ubarikiwe shukran [emoji56]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…