Nafurahia sana maisha yangu mapya

Ananilomba vilivyo siunajua wazungu sio washamba kama wafrika
Hivi una akili timamu kweli?πŸ€”
Hata kama upo nyuma ya keyboard, unaidhalilisha nafsi yako na unamchukiza muumba wako
 
Jf admin angalieni kuna watu wanawatafutia zengwe mfungiwe mazima
 
Nimeshapandikizwa uke nikatolewa mrija daktari alinieleza kuwa mimba nitashika maana tayari nishaungwa kila kitu usicheze na teknolojia
Kwa hiyo daktari ameshakupa pasiwedi ya ushikaji wa ujauzito!?Hongera sana mkuu.Nakutakia unyonyeshaji mwema.Naamini na matiti yamefanyiwa "modifikeshioon"!
 
Kama ni kweli lakini........ Nadhani ulitumia gharama kidogo,Kuna muda unaeza omba ukae na umaskini wako tu,make ukipata kipato waeza jikuta wafanya mambo ambayo ni machukuzo kwa baadhi ya watu
 
Kwa hiyo mwanetu wewe ni kitobo?
Kub................basenga huku JF unafanya nini sasa
 
Useme kabisa unapenda chupi Rangi Gani tujuletee Dazani
 
Nimeshapandikizwa uke nikatolewa mrija daktari alinieleza kuwa mimba nitashika maana tayari nishaungwa kila kitu usicheze na teknolojia

Nacheka km mwehu, khaaah watu mmelanduka sio poaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahiyo sass unamiliki mbususa na unataka kupelekewa msolombo sio ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…