Nafurahia sana maisha yangu mapya

Matatizo ya afya ya akili ni makubwa sana kuliko tunavyo fikiria.
 
Hauwi mzungu kwa kubadili jinsia au kubadli rangi ya ngozi.

Ukilinganishwa wewe na Michael Jackson na Cole Palmer hao wawili ni weupe kukuzidi ila bado wanatambulika kama blacks.

Hii ni kwakua kuna kitu kinaitwa ethnicity, nani aliyekuzaa, kama aliyekuzaa ni muAfrika, wewe ni muAfrika tu hata uwe mweupe kama karatasi za kwa Masumin Printways.
 
Una mental issue wewe
 
Nshamwambia atafute kazi afanye, awe na standard siwezi mwambia asiliwe maake hata angefanya kimya kimya hayanihusu

Sasa huyu nadhani ni wale wa kuingizwa usiku wa manane na kutoka muda huo huo

Kina James waliringa hvhv dk za jioni hawana hata chumba zaidi ya kuishia kulalia kwa watu


Astakafirulah
 
Mungu amsaidie sana!πŸ˜…
 
Nachoka sana mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…