Calamity JF-Expert Member Joined May 28, 2013 Posts 856 Reaction score 47 Feb 13, 2014 #1 Mimi ninadogolangu (form four leaver 2012) anapoints 29 namtafutia chuo chochote lakini kiwe nicha serikali kwa mwaka wa masomo 2014/2015 wadau nisaidie ninashida ya huyu dogo.Ahsanteni no 0765469266.
Mimi ninadogolangu (form four leaver 2012) anapoints 29 namtafutia chuo chochote lakini kiwe nicha serikali kwa mwaka wa masomo 2014/2015 wadau nisaidie ninashida ya huyu dogo.Ahsanteni no 0765469266.
SHOOyaKIBABE JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 2,181 Reaction score 1,714 Feb 13, 2014 #2 vyuo utatajiwa vingi tu ila tuambie dogo alikuwa anachukua masomo gan na anapenda kusomea nn chuo, hapo itakuwa ni rahisi kukutajia vyuo vitakavyomfaa
vyuo utatajiwa vingi tu ila tuambie dogo alikuwa anachukua masomo gan na anapenda kusomea nn chuo, hapo itakuwa ni rahisi kukutajia vyuo vitakavyomfaa
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,152 Reaction score 3,473 Feb 13, 2014 #4 Elezeni mnachotaka kusoma japo kwa Kiswahili mtasaidiwa