Heading yako iko tofauti na dhamira yako. Umeeandika "Nafuta Kazi hapahapa Arusha account department" Omba Mod akurekebishie, maana nilidhani hupendi kuishi Arusha hivyo unafuta mkataba wa kazi ukiwa hapo hapo Arusha, kumbe unatafuta kazi.
Ila safi sana "Biashara Matangazo"
Kuna jamaa mmoja alienda England na maembe akiwa na nia ya kuyauza. Kufika pale akayapanga kama kawaida huku akiyatangaza mangoes, mangoes, mangoes, bila mafanikio hadi ilipofika saa za mchana akajihisi njaa, akaamua kula embe moja. Wale wazungu wali-admire rangi nzuri ya embe mara walipoona jamaa anakula. Mmoja akamsogelea na kuomba auziwe moja baadaye wawili, watatu mia moja akawa amemaliza biashara yake palepale. BIASHARA MATANGAZO.