Wana JF, mwana jamii mwenzenu natafuta kiwanja maeneo hayo niliyo yataja hapo juu includes Bunju.
Tafadhari nitumie msg kupitia inbox yangu kwamba kiwanja kiko wapi, kina ukubwa gani.
Hints, I need more than one plot, so advise me accordingly.
Nitumie namba ya simu na nitakupigia within 24 hours.
Asanteni sana.
Mtanganyika mwenzenu.