nafuta mchumba wa kuoa aliyeokoka

nafuta mchumba wa kuoa aliyeokoka

Eberhard

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
1,153
Reaction score
809
Leo nataka nihusike na wale wanaosema kuwa wanatafuta wachumba waliookoka. Ili update mchumba aliyeokoka, ana kuokoka wewe kwanza. Huyo mchumba aliyeokoka atakubarika badaye. Mpokee yesu na kuamkabidhi maisha yako.
 
Haya Boss mi siandiki chochote Kwaheri
 
Natafuta mchumba,awe na umri kuanzia miaka 19-26,awe ameokoka,elimu kuanzia kidato cha4 na kueandelea,kabila si kizuizi awe tayari kufunga ndoa mapema.elimu yangu ni ya chuo.am sam.

wewe umeokoka? una miaka mingapi?
 
ungefunguka mkuu awe ameokoka na nini ajali au na nini
 
mi nimeokoka.......kuna jamaa alikuwa aniingize mkenge nikasanua.....ngoja nikuemail saa hii....
 
Inabidi nirudi kwa bwana, maana nakosa wachumba hivi hivi.
 
umeokokea wapi? kwa kakobe? mwingila? ngwajima? nahisi kama ume okokokea huku huwa wachumba mnajichukulia hukohuko,lakini wewe unaonekana umeokokea jf. kweli we ni mlokole wa ukweli hadi unatafuta mchumba huku,yani wahumini na wana kwaya wenzako huwataki tena.
 
wadada walio okoka mbona wako kila kona? tena wengi wana fedha na magari.... waliyonunuliwa na wababa.
 
Nawashukuru nyinyi wote kwa michango yenu ya mawazo. Tupo pamoja sana na Mungu awabariki
 
Kama kote ulikopita kanisani, chuoni, mtaani, umekosa hapa ukipata ujue umepatikana.
 
Back
Top Bottom