Nafuta mke mtarajiwa .

Magumi

New Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
4
Reaction score
5
Nahitaji msichana mrefu rangi yeyote na kabila lolote anayejitambua ambaye atakuwa mke wangu kama ataridhika na mimi, umri usizidi miaka 27, awe amesoma hata kama ameishia kidato cha 6 na kuendelea na awe na uwezo wa kuona fursa na mshauri kwangu.! Akiwa mikoa ya Dar na Moro ni rahisi zaidi kuonana na kuyapanga zaidi
Sifa zangu;
Mwajiliwa serikalini
Mrefu na umbo la wastani
Umri wangu miaka 30
Mtanashati
Mkirsto
Mengine karibu inbox kwa walio serious



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…