Nafuta mke wa kuoa

Swala la mke ni swala serious sana, sio la kujichanganya kutafuta ovyo ovyo mtandaoni
 
Brother Mshana Jr nimeokota vitu nami pia. Ubarikiwe sana
 
Ushauri wa pili, kama hutafanikiwa this time, nextime usitangaze kutafuta mke bali rafiki.. Ukishatoa hiyo ofa watu huficha makucha yao kwa ajili ya kutamani ndoa! Maisha yakushatulia kuna rangi halisi utaziona na nyingine ni nyeusi sana
📌📌📌
 
Unaweka cv ya elimu kuna aliyekuuliza? We sema unataka mke, maswali yakijitokeza jibu. Wapo wanaouliza una miaka mingapi, unafanya kazi gani, dini gani? Mwenye kuridhika na majibu yako mtakutana muoane
 
mbona hasira kaka nimekukera nini? Ni introduction tu embu niambie umri nimeweka wa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…