Baby de toto
Senior Member
- Jan 3, 2025
- 153
- 338
Misuli kujaza kumetokana na ninWakuu heshima yenu
Kwa anayejua sehemu nzuri ya kufanyia masaji ya low back kwenye mgongo na miguu misuli inakaza sana kwa hapa Dar penye gharama nafuu naomba kuelekezwa mambo ya kuenda muhimbili siwezi gharama
Sijui aiseeMisuli kujaza kumetokana na nin
Energy DrinksSijui aisee
Hapana mkuu hii shida imeanza baada ya kupata shida ya usikivu na nika loss body balance hata sijawahi energy drink
Umri wako miaka mingapSijui aisee
Umri wako miaka ming
26yrsUmri wako miaka mingap
Nenda Tanga kibiboni njia ya Mombasa ukatibiwe wamesaidiwa wengi wenye matatizo ya kuvunjika mifupa na wenye matatizo ya UTI wa mgongo26yrs
Asante sana ila me sijavunjikaNenda Tanga kibiboni njia ya Mombasa ukatibiwe wamesaidiwa wengi wenye matatizo ya kuvunjika mifupa na wenye matatizo ya UTI wa mgongo
Ni muscles tu zinavuta na kuumaNenda Tanga kibiboni njia ya Mombasa ukatibiwe wamesaidiwa wengi wenye matatizo ya kuvunjika mifupa na wenye matatizo ya UTI wa mgongo
Umefanya diagnosis hospital wakakuambia dawa ni massage? Tatizo la Bongo wengi ni vilaza na wanababaisha tu. Na kama wewe ni mwanamke ukikutana na wanaume wengine, wanakuwa wako unprofessional kama walivyo baadhi ya madaktari.Ni muscles tu zinavuta na kuuma
Kuvuta na kuuma kumetokana na ninNi muscles tu zinavuta na kuuma
Rafiki ndio unako patiaga huduma ehh?
Hapana rafiki, huyu jamaa tunafahamiana tu.Rafiki ndio unako patiaga huduma ehh?
Ooh sawa.Hapana rafiki, huyu jamaa tunafahamiana tu.