H Halord JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 213 Reaction score 105 Nov 25, 2019 #1 Habari za mchana wadau. Natafuta tairi za pikipiki aina Honda Twister CBX 250. Nipo Ruvuma na huku hamna hivyo kama kuna mahari zinapatikana hata kama ni used naomba tuwasiliane tufanye biashara. Mbele: 100/80-17 M/C 52S Nyumba:130/70-17 M/C 62S
Habari za mchana wadau. Natafuta tairi za pikipiki aina Honda Twister CBX 250. Nipo Ruvuma na huku hamna hivyo kama kuna mahari zinapatikana hata kama ni used naomba tuwasiliane tufanye biashara. Mbele: 100/80-17 M/C 52S Nyumba:130/70-17 M/C 62S