koba lee
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 981
- 1,606
Habarini bandugu
Moja kwa moja kwenye mada.Nilikutana na binti flan hivi mrembo kwel nikahangaika ninavyojua nikampata akawa wangu,sasa siku ya kwanza niko nae kwa bed akawa anazuga ye si mjuzi wa mambo yale basi kidume nikawa mwalimu wa kujitolea,shoo ikapigwa kinyonge akawa anadai nimfundishe na mm nikawa nazuga sio mtaalam sana ila tutaelekezana.Siku zilizofuata akawa vilevile mzembe basi bana ndugu msomaji mda ukafika nikamwambia aje kwangu tujaribu kufanya maisha badae tujenge familia,akahamia maajabu yalianza siku ya kwanza kwenye game utadhan sio yeye yule mzembe kitandan nilikua napewa style za kuchimba kaburi nyingne sijawah hata kuziona nyingne nilikua naziona kwenye video za hardcore xxx,nilitahamaki nikawa najiuliza maswali mengi huyu vipi haya madude yote haya kajifunzia wapi na nani laleki,nikawa najiuliza nisijekua nimeopoa mlupo nikidhan wife material.Lkn niko nae niko mpaka muda huu napambana na hali yangu.
Wanaume tuweni makini tusije uziwa mbuzi kwenye gunia maana mpk sasa bado najiuliza maswali na siwezi muuliza chochote sababu anasema hajanipa mambo bado,nafwaa wakuu maana libeneke ninalopewa kazini full kupiga vitenesi afu ananambia mambo bado.
Hivi ni ushamba wangu au kuna kitu?
Sent using Jamii Forums mobile app