The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Peace be upon you all,
Jamii yetu imekua na vijana wa ajabu sana case study ni kijana humu jf kwa id ya mpwayungu village na kama huyu member ni mzee basi ni mzee mpumbavu. Kumekua na desturi ya kudharauliana hadharani na kwa baadhi ya watu huona fahari kudharau na kudhihaki wengine mfano ni huyu kijaea wa Kariakoo.
Ndugu huyu mpwayungu village amekua kwa mfululizo bila aibu akiwatukana na kuwadhihaki walimu wetu jambo ambalo naamini linawakera wengi humu ila wanampuuzia na kumuona kijana huyu kama asie na adabu kwa walimu wetu. Hebu niambie bila walimu wetu leo hii sisi je tungekua hapa tulipo? Ni jambo gani baya walilofanya watumishi hama kustahili matusi, dhihaka na kejeli?
Binafsi kwenye ranks za juu kabisa za heshima zangu baada ya wazazi wangu watu wanaofuata ni walimu wangu. Leo hii anatokea mtu mmoja mwenye tecno anawatukana walimu kwakweli naghafirika sana na kuugua nafsini mwangu.
Watu wengi wamekuwa na ujinga wa kuwadharau walimu ilihali hali zao wao ni duni sana mbavu za mbwa paa kuvuja. Mfano hata huyu kijana ambae ukifuatilia posts zake utagundua ni machinga wa pale Kariakoo (amekua akilalamikia biashara yake kukosa wateja na kumlazimu kuhama hama maeneo tofauti ya hapo Kariakoo) ila kutwa kuwakejeli na kuwatukana walimu, mtu ambae anauza socks za watoto ametandaza katurubai chini huku mtaji wake hauzidi hata 40K anawatukana walimu ambao mshahara wa mwalimu kwa awamu mmoja tu ni zaidi ya mara 15 ya mtaji wake.
Nawafahamu walimu waliojiimarisha sana kiuchumi kama mwalimu wangu wa pale Bright-gramma Primary School mwalimu Abas Liwale na kamwe hauwezi kumlinganisha na huyu machinga asiyemiliki chochote zaidi ya tecno chakavu. Mwalimu wangu Holusan ambae kabla hajastaafu amezunguka zaidi ya nchi 18 katika exchange program na kuwa hazina kwa jamii na mchango wake mkubwa katika sekta ya elimu Tanzania na Afrika,
Halafu nikae nimekunja mikono mpumbavu huyu mpwayungu village akimtukana ?! Ebo, nisamehe mwalimu wangu Holusan kwa kejeli na dhihaka za vijana hawa wa kaliba ya mpwayungu village.
Hakuna siku kijana huyu amewahi kupost jambo lolote la maana au hata kuchangia dondoo yoyote yenye tija au mantiki ya kujenga maarifa kwa uma, ni mwenye IQ ndogo ambae kutwa kuwatukana walimu wetu. Waliotumia muda wao mwingi, uvumilivu dhidi yetu, upendo na juhudi yao yetu. It's not fair mpwayungu village
Walimu wangu mlionifundisha na wengine wote, walimu waliostaafu na mlio kazini, walimu mlipo humu JF wote kwa idadi yenu napenda kusema tunawapenda na tunawaheshimu sana hakika thamani yenu ni ya juu kuliko maneno ya kuelezea.
Dada yangu To yeye najua hua naparuana nawewe sana kwenye mambo ya feminism, ila leo naomba nikupongeze kwa majukumu yako.