Comment zingine .......kazi kweli kweliSioni umuhimu wa kugombea kama mgombea binafsi. Chagueni chama mkiimarishe sasa ili muwe mmeshiriki kujenga taasisi itakayotumiwa na watu wengine kuijenga Demokrasia nchini.
Kugombea kama mgombea binafsi ni dalili za woga, uvivu na ubinafsi.
katiba ya mgombea binafsi itakuwa na mambo binafsi mengi kuliko mambo ya jamii. Ubinafsi utakuwa mwingi zaidi.
Sioni umuhimu wa kugombea kama mgombea binafsi. Chagueni chama mkiimarishe sasa ili muwe mmeshiriki kujenga taasisi itakayotumiwa na watu wengine kuijenga Demokrasia nchini.
Kugombea kama mgombea binafsi ni dalili za woga, uvivu na ubinafsi.
Sioni umuhimu wa kugombea kama mgombea binafsi. Chagueni chama mkiimarishe sasa ili muwe mmeshiriki kujenga taasisi itakayotumiwa na watu wengine kuijenga Demokrasia nchini.
Kugombea kama mgombea binafsi ni dalili za woga, uvivu na ubinafsi.
samahani wanajamvi, nilikosea tarehe ya kujitangaza, wanasheria wamenishauri nitangaze rasmi tarehe 30 th march, 201o, na kutokana na ushauri wenu ninategemea kujitangaza katilka ukumbi wa mawela technical school, uliko uru mawela, karibu na usharika wa neema wakanisa la kilutheri au karibu na seminari ya uru, kwenye barabara kuu itoka yo moshi kwenda wild life college. nitatoa contact zote na matangazo kwenye magazeti very soon