balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,743
- 13,657
Naomba sana kura yako,
Mimi naweza kuwa Rais Bora kabisa wa Chama cha Walimu
Nina SHAHADA ya Uzamili katika Elimu toka Udsm 2017
Pia nina degree na Cheti cha Ualimu nilichosomea Ilonga ttc 2003.
Uzoefu
Ni mwenyekiti wa Cwt Wilaya kwa sasa
Nina uzoefu kwenye uundaji wa vikundi na uwekaji wa Akiba kutoka Tasaf kama National Facilitator
Ninahudumu kama Afisa Elimu Kata kwa miaka kadhaa
Nina uzoefu wa kufundisha darasani na nazijua changamoto za walimu kwa maana ninaziishi.
Ninachoahidi
Ninajipanga kukifanya chama cha walimu kukaa kitaasisi zaidi kwa kuwaona walimu kuwa ni sehemu ya chama na sio wasindikizaji. Hapo nitaboresha usimamizi wa Miradi ya chama na kubuni Miradi mipya.
Pia, nitalielekeza jicho langu kwenye maoni ya katiba mpya nikiwa najua kama nyenzo muhimu ya kuendesha taasisi inayoheshimu mawazo ya wajumbe na maslai mapana ya Elimu kwa kila mtanzania kama inavyoainishwa kwenye Elimu bure.
Naomba sana kura yako au pia unaweza kutangaza kwa walimu wengine ambao watahusika katika kupiga kura.