Nagombea Remote na Watoto!

Una DSTV ya kuchakachua wewe, hao waliokuwekea hiyo cable hawakukuambia,,, hiyo channel ya kiswahil ni Africa magic swahili,,, nimeshakumbana na hao jamaa wanataka wanifungie kwa Laki 4 na nitakuwa silipii tena sema masharti yake hakuna plan your view wala dstv touch kucheki timetable,,

Pia kuhusu msaada ni bora ujumuike na watoto wako sitting room ujue wanaangalia nini, na uwajengee kuwa uptodate kwa kuchek television zenye mafunzo like mindset learn, discovery etc,, kama sio mpenzi wa Bar usianze kwenda bar eti unakimbia wanao maana huko utakutana na ma Bar maid wapo kwenye mawindo na shepu zao za mchina wakakuchanganya hadi ukakosa muda wa kurudi nyumbani,,,

Kama mkeo mnashare common interest Jinunulien TV nyingine muweke room kwenu wakati madogo wanaenjoy cartoon, na we na wife mnacheki Room, yaani full happy family no bugudha,,,
 

Hahahahaaaaaaaaaaaa! kweli nimeamini ukiwa una maudhi ingia jf, utafurahi tu na kutoka roho kwatuuuuuuuuuuuu huku ukiwa umemsamehe kabisa alokuudhi, mweee!
 
Hahahahaaaaaaaaaaaa! kweli nimeamini ukiwa una maudhi ingia jf, utafurahi tu na kutoka roho kwatuuuuuuuuuuuu huku ukiwa umemsamehe kabisa alokuudhi, mweee!

Kilichokufurahisha ni nini hapo Ndyoko? Nimetoa ushauri ambao siyo, au inakuwaje?
 

Ubarikiwe mkuu na usihi maisha marefu.
 
Kilichokufurahisha ni nini hapo Ndyoko? Nimetoa ushauri ambao siyo, au inakuwaje?

Spati picha ya hiyo tv, na hivi nilivyo na shida ya kuona mbali-hata umbali wa mita tano- hivyo nahisi kama ntakuwa napiga chabo mkuu. Wala hujaongea kitu kibaya mkuu.
 
si unajua vitivii vya sisi walalhoi, ni vya inchi 21 ukijikamua sana inchi 24
 
Spati picha ya hiyo tv, na hivi nilivyo na shida ya kuona mbali-hata umbali wa mita tano- hivyo nahisi kama ntakuwa napiga chabo mkuu. Wala hujaongea kitu kibaya mkuu.

Uko wapi kwani? Tanzania? Tivii za hivyo hazijafika bongo kwani?
 
NN brother umenikumbusha kitambo this cartoons
 

Hapo kwenye red n bolded: kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Huko juu umetoa ushauri mzuri ila ndo umemalizia kwa mcharuko haswaaaaaa!
 
Uko wapi kwani? Tanzania? Tivii za hivyo hazijafika bongo kwani?

Najua zipo ila sikuwahi kufikiria kuwa nayo, nilikuwa na jirani yangu alikuwa nayo long time ago, tulikuwa tunatumia hyo feature kuvuzia program kwenye channel nyingine huku tukiwa tunaangalia channel ya pili. Hata hivyo nimekuelewa kaka, i value your opinion mkuu!
 
wapangie watoto muda wa kuangalia katuni zao, mf. jioni wakimaliza homework etc. Na uwaambie kabisa ikifika saa fulani ndi mwisho. Baada ya muda fulani watazoea. Pia walaze mapema mf. saa 2 usiku then wewe na mkeo mnaweza angalia vipindi vyenu.
 
NN,Zshafika bwn,bongo c kama mbele tu nwdays!kila kitu unapata,tatizo huku uswazi wa2 watakuona eti unapendaga makuu.

Kwa jinsi jamaa alivyocheka nikadhani labda wazo nililolipendekeza lilikuwa la ajabu sana.

Ukipata kitu plasma tena HD 1920x1080i chenye hiyo feature inakuwa mwake sana.
 
tatizo ukitumia hiyo picture in picture huwezi kusikiliza sauti ya moja, ni animations tu! sasa starehe inapungua inakua kama album ya mpira banaa! ila muhimu pia ni kulea watoto ambao sio selfish. aisee, vitoto vya siku hizi selfish hadi vikikutana na vyenzao kwenye play park anataka kuhodhi treni anasema ya kwake! unatamani kuzabua katoto ka watu ila mamake amenyamaza tu haongei kitu unatamani uhamie kwenye kuzabua mama mtu! kha!
 
Sure!tena cku hz 2natumia na cable za HDMI Badala ya vile njano na red,lol,techn inasaidia
Kwa jinsi jamaa alivyocheka nikadhani labda wazo nililolipendekeza lilikuwa la ajabu sana.

Ukipata kitu plasma tena HD 1920x1080i chenye hiyo feature inakuwa mwake sana.
 

Ni kweli King'asti. Ila sasa bora lipi? Uwanyime kabisa uhondo watoto au uwape uhondo robo tabu? Mimi nadhani kama watoto wanaangalia vikaragosi wanakuwa hawako interested sana maneno. Kwanza vikaragosi vingi haviongeagi. Angalia Tom and Jerry kwa mfano. Wao ni kufanyiana. Longo longo hakuna. Sasa hapo baba unaweza ukawa unaangalia Nightline ABC huku wao wakimwangalia Spongebob Square Pants kwenye Cartoon network na wote mkafaidi na kuridhika.
 

Nami ilinitokea ishu kama yako chanel ya Katuni na African Magic Swahili nilichofanya nikawek TV nyingine chumbani
 
Usisahau kuwakumbusha na umuhimu wa masomo hao watoto wako maana inaonekana wapo busy na tv kuliko home work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…