Nagu: We're killing our industries by buying foreign products


There you are! History and facts are always good! We said 'welcome globalization' today we are crying. This situation is irreversible; the only way is to have competent service, manufacture, and heavy and high-tech industries. This does not come by blah-blah we have to have brains and committed leaders.
 
Exactly. Same old crap, a lot of talk but what policies are in place to support Tanzanian industries and encourage Tanzanians to buy Tanzanian products.

True that!!

Tatizo kubwa Tz hatutaki ku-raise bar ya performance, halafu we want protection while we are below the standard in most of production industuries. I read one article from the Citizen written by MIchael Shilla of FCC about importaing products versus local production, he has a good point and i wish he could dig deeper to reveal the cost associated with improving quality etc.

Pamoja na kuwa na sababu lukuki, i think ni bora tufungue mipaka na viwanda vyetu vipambane tu

Tumeona kwenye wine, beer, spirits, mabati, sugar, paints, furnitures etc kwamba inawezekana kupambana na bidhaa za nje pamoja na matatizo tuliyo nayo kama watu watakuwa serious

i beg to differ with Mama Nagu
 
Nili kubaliana na wewe mkuu. What I said haikuwa kupingana na hoja zako bali kuongezea tu. Thats why kwenye post nikasema nakubaliana na wewe. The way ulivyo jibu ni as if tuna pingana mkuu.

NI sawa tu hata kupinga, as long as you have a valid point manaFA
 

True mkuu, hao wa vyama vingine wamejaza fenicha zipi? ...cant we raise our products quality Bar?
 
Mama ameongea kama wimbo mzuri tu anaoimba mtu yeyote lakini hajui maana yake! Ziko nyimbo nyingi tu tunajua ni nzuri tunazipenda lakini hatujui maana yake kabisa!
Hicho ndicho anacho kifanya huyu waziri, anajua hizo kauli zina pendeza masikioni mwa watu,.
Lakini ni kauli tupu, tupu kabisa ambazo wala hazina mikakati yoyote ya kuhakikisha hayo yaliyosemwa yanatekelezwa, na yeye mama anajua kuwa kaongea tu, kwani naamini hata yeye kichwani ukimuuliza kuna mkakati gani,utekelezaji, usimamizi wake wa kuhakikisha kuwa alichokisema kinafanyika, HAJUI! wala hatakaa ajue ndiyo aina ya viongozi wetu hawa, wanaongea tu kama kasuku vitendo hamna! Pole kwetu!
 

Yes, it is the empty tin that sounds loudly.
 
Exactly. Same old crap, a lot of talk but what policies are in place to support Tanzanian industries and encourage Tanzanians to buy Tanzanian products.
suala sio policy za kusupport bali willingness na capacity za wanaosimamia hizo sera..
nchi yetu hii tatizo la ukosefu wa watu makini na mfumo wa wazi wa uwajibikaji katika kuleta maendeleo ya taifa.

kwa mfano kama SIDO utendaji wake unakwamishwa na wanaoliongoza na wanaolisimamia(wizara).. hatuwezi kuwa na mawazo mgando katika kuleta maendeleo ya karne hii..
baada ya miaka zaidi ya 30 shirika kama SIDO serikali haioni umuhimu wa kuwa na vision mpya kuendana na mahitaji ya sasa...

hatutasogea kama hatutabadili mfumo wa kuongoza taasisi zetu na uwajibikaji ulio wazi katika kuleta maendeleo.
tumeuwa mashirika yetu kabla ya kuyauza kwa mtindo huo ambao kiurahisi ndo twauona una makosaaa...je kwa nn hatuhoji kufa kwa mashirika kama NMC, UFI, RANCHI, TAMCO, VIWANDA VYA NGUO KILA MKOA, USINDIKAJI, NK NK.....

LAZIMA KAMA TAIFA TUTAMBUE UDHAIFU WETU UKO WAPI NA KILA MMOJA ANASHIRIKI VIPI KUJISAHIHISHA ILI TUPIGE HATUAAA..

NAGU ATAENDELEAA NA KAULI YA KULAUMUU ILA KUHAMASIKA NI MUHIMU ILI KUBADILIKAAAAA...
 
Nimeona kuna wadau wanadai kuwa bidhaa za ndani hazikidhi viwango. Inaweza ikawa ni kweli kuwa baadhi ya bidhaa hazina viwango. Wakati tunatafakari hili tujiulize pia iweje bidhaa zisizokidhi viwango kutoka China, Taiwan na India vinawezaje kuingia humu nchini.

Ukweli ni kuwa hakuna udhibiti wa kutosha, na usipodhibiti vyema hata kutengeza bidhaa zetu wenyewe zenye viwango vya juu bado haitosaidia kitu. Hapo ndio maana kila siku Uchina inakuwa matatani na Marekani, maana US inaelewa bidhaa genuine haziwezi ku-compete na kuwin against bidhaa famba kwenye soko lilelile.

Kuhusu viwango duni vya bidhaa zinazozalishwa nchini huwezi kutegemea maajabu wakati kila kitu kipo shakalabaghala. Framework-wise na infrastructure zipo ICU. Kwa sababu serikali yenyewe haijali...haina mikakati na inaishi kwa kudra tu. Wafanyabishara wadogo hawana network ya maana zaidi ya biashara za kubahatisha. Walaji wenyewe choka mbaya, purchasing power ina range from zero to none.

Kuna point nyingine imejitokeza kuhusu utandawazi. Ni kweli kwamba serikali yetu kwa kukosa visheni au kukimbilia mambo kwa staili ya kuiga imejikuta ime-stack kwenye mtego wake wenyewe. Kwamba je iruhusu uchumi wa nguvu za masoko bila mipaka au iwaangalie kidogo na raia wake wasiachwe nje? Hii ni dilemma ambayo haikuwa necesary in first place kwa sababu ni wazi nchi yetu ni changa mno, haipo tayari ku-compete kihivyo. Nchi ambayo haiwezi hata kujitosheleza kwa viberiti au hata nyembe..ilitakiwa kwanza iweke misingi ku-empower wananchi wa kada za kati na chini..wakulima, wafugaji, wafanyabiashara, etc ambao ni wengi nchini, at least wawe wamefikia mahala flani pa kuanzia. Hapo ndo mnaweza kuanza kufikiria big time and international kama sio global.
 
Kwa kiasi fulani namuunga mkono Mary, kutoa mfano kuna siku nilipita Nairobi na kutaka kupata kinywaji (bia), aina ya bia niliyoichagua yule mkenya alinishangaa sana, akaniambia hapa kenya bia ni Tusker tu, na kweli mkenya humwambii kitu. Sasa njoo tanganyika, mtu akipata Heineken, Turbog, Windhoek etc anaona eti yupo juu zaidi ya mnywa safari au kilimanjaro. Kwa hiyo kuna hiyo "wrong culture" ya kupenda vya nje.

Kwa upande wa pili, naona ubora wa bidhaa zetu na gharama (bei) pia ni tatizo. Utakuta bidhaa inaagizwa kutoka SA, China, Taiwani, UAE etc. pamoja na kodi zoooooote zilizopo bado ni rahisi kwa bei kuliko bidhaa iliyozalishwa bongo. Mary alitakiwa kwanza awahimize wenye viwanda kuongeza ubora na kupunguza gharama ili waweze kushindana na bidhaa za nje. Inatakiwa mkakati hasa kuweza kubadilisha buying culture ya mtanganyika na sio hotuba ambayo babu yangu kule kijijini haielewi.
 
Bidhaa ikiwa nzuri, bei inayokubalika, imefungwa vizuri, imetangazwa inavyopaswa, inapatikana inapotakikana, inaenda na wakati, mteja atainunua bila kujali imetoka wapi! Tuache kuwaona watanzania kuwa limbukeni na kuheshimu matakwa yao!

Amandla.......
 
 
 
Ha ha ha haaaaa - just imagine you see a Minister preaching - TUENZI BIDHAA ZETU - halafu AMEVAA SUIT - NGUO KUTOKA CHINA - its very funny and strange

Wapunguze hizo riba kwenye mabenki - wajasiriamali wakope watengeneze bidhaa nzuri, zenye viwango - na finishing nzuri inayovutia ili bidhaa zinunuliwe kwani huu ni ulimwengu wa ushindani, wafundishwe or wajifunze how to export our products (wajasiriamali wadogo wadogo) Pia
Bidhaa za nje zitozwe kodi kubwa na kodi za bidhaa zetu zishushwe ili WTZ wawezeshwe jamani -
Waziri atembelee viwandani - wajisiriamali etc. aone kwa macho - sio anaongea tu wakati hajaona - au anaandikiwa speeches etc. kwa kweli ITS HIGH TIME WE TRIED ARMY RULE - VIONGOZI WETU USWAHILIIIIIIII MWINGI - MANENO MENGI - WATOTO WAO WANASOMA NJE, WANAFANYA KAZI NJE - KAMA WANAENZI TAIFA MBONA WASIWAACHE HAPA HAPA NCHINI? OUR LEADERS ARE NEVER SERIOUS - WANAONGEA MENGINE NA MATENDO YAO MENGINE - GOD HELP TANZANIA
 

This can be against trade rules as we are in the era of trade liberalization. Lakini hii haimaanishi hatuwezi kuwa na internal policies kuwawezesha watanzania ku produce tatizo ni kuwa watu wengi hawakuwezeshwa kumiliki viwanda wakati wa ubinafsishaji nw waliovichukua wameshindwa kuviendeleza so kwanza imepunguza ajiri pili imekosesha mapato serikali through taxes. Kila mara nasema kuhusu ubinafsi wetu as had it been kungekuwa na participation in production hivi viwanda leo vingekuwa vime advance katika production in quantity and quality any way past past let us think of present kama kutakuwa na genuine efforts to involve majority in production through labour intensive approach instead of capital intensive mode ambayo tuna ng'ang'ana nayo bado we can make it. tatizo liko pande zote wataalam tuna shy away; wanasiasa wana maximize political objectives zao ambazo ni votes na walio baki ambao ni wengi hawajui wafanye nini for nobody think of them yet they can not help themselves due to them being in a large group which is unorganized with various objectives and at different classes of income levels. Kwa ujumla ni tatizo la society na si viongozi wala any body. Wote tukiwaza hivi na tukakubali kubadilika badala ya kulaumu na kutafuta mchawi haya ya ndani tutayapunguza yatabaki ya nje ambayo pia yameshiriki kutufikisha hapa tulipo.

Who is to start the move I personaly think the leaders who are now in power waache uwoga if they do it rightly nobody will penalise them for truth will peak for them and will therefore be protected. wakubali kubadili mfumo Katiba is one; second opposition iwe strangthened ili tuweze kuwa na genuine monitoring and evaluation systems itakayo pelekea kila mtu kuwa responsible kwa majukumu yake na unapokosea basi unapata haki yako unayostahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…