Ushaanza kuwa Kichaa siku hizi.Ukimwi upo juu sana Tuliza mkia ndani ya boska
Mkurya na Makete wapi na wapi Mura?Nimehamishiwa wilaya ya Makete kikazi,
Anayejua maisha ya hiyo wilaya na changamoto zake ,naomba maarifa ya kutosha
Sio ukichaa mkuu. Huo ndo ushauri wa almasi (Platinum advice) Mm najali afya na uhai wake ndo mana nimemuonya.Ushaanza kuwa Kichaa siku hizi.
Sawa Mura "maghoro maiya"Tata nimehamishiwa huko,natafuta wenyeji ili nipajue vizuri
Tata nimehamishiwa huko,natafuta wenyeji ili nipajue vizuri