Nahamia Nairobi

MK254 mimi sina family,almost nakaa pekee yangu katika room pamoja na bafu tena gorofani,naweza kulipa hiyo hata kwa hesabu ya siku tatu ya matatu yangu..mi napenda kukaa doniie (donholm)

Ndio nakwambia nyumba ya 10,000 huku Nairobi hutumiwa na wanafunzi wa vyuo, yaani babysitters. Lakini wewe umesema una mtoto, meaning unafaa chumba chenye hadhi cha bedroom mbili na hiyo ni kuanzia 18k hapa Kasarani. Ungeendelea kuhangaika Mombasa kabla uanze kunusa nusa Nairobi.
 
Last edited by a moderator:

sawa nitatafuta appartment ya 25000ksh na nitalipa kwa miezi sita,manake naona nyie watu mmejaaliwa dharau
 
Jihadhari huku kuna chips funga
 
sawa nitatafuta appartment ya 25000ksh na nitalipa kwa miezi sita,manake naona nyie watu mmejaaliwa dharau

Kuwa makini usijikute unauza hadi gari, bora ungetulia na uwe tayari kwanza, mwendo kasi wa hapa Nairobi ni tofauti.
 
mkuu kenya washamba ni wengi sana,mi napelekea wateja zangu pale eastleigh tunafanya biashara ya viungo kisha wananipa mabint zao wakisomali

Kama wataka madem wa nairobi wanoishi maisha ya ki celebrity then uko taabani, maana hao hu weng na ku tweng kizungu. Imagin sitting in a group of chicks speaking there fast lane English, then you jumping in the conversation with your kibongo, it just won't work, thats why most people who live in Nairobi end up speaking sheng, not by choice. But kama kizungu hauko sawa, ukijaribu kuongea kizungu itakua mbaya zaidi, you will be a turn off and boring, so stick to your bongo, but if you don't want sheng, then you will have to make sure you hang out with the cool guys, that way you will have easy access to the finest, but kama wewe ni lone wolf, it will be very hard to get attention from the high end chics of nairobi, no matter how fine your bongo is...... Unless you are a millionaire or a known celebrity or you are really really funny and fun to hang out with.
 
chunga nisikutane nae lazima nimpe mimba

Haya jaribu bahati yako dadangu ako Thika mwingine ako Embu mimi niko Thika kwa sasa lakini wakati mwingi utanipata nairobi kwa bibi kwahivyo kuwaona ni rahisi lakini kuwapata ni vingumu kwanza wakijua wewe mtz,hauna bahati
 
nataka wa size yangu,mi nina 25 sasa,najua dadako atanipenda zaidi akijua lazima afike bongo kwa mumewe
 
MK254 mimi sina family,almost nakaa pekee yangu katika room pamoja na bafu tena gorofani,naweza kulipa hiyo hata kwa hesabu ya siku tatu ya matatu yangu..mi napenda kukaa doniie (donholm)
Asikudanganye bwana wewe nenda anajua mfuko wako? kama unafikia kwa ndugu
 
Last edited by a moderator:
DU! Amakweli vituko
 
sawa nitatafuta appartment ya 25000ksh na nitalipa kwa miezi sita,manake naona nyie watu mmejaaliwa dharau
Ndugu yangu nchi zawatu sifa huziwezi kaka utatoboa mfuko bure Ukija Bongo uanze kutusumbua VIKOBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…