GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jana kuna Mipira kama Mitano ( 5 ) tena Muhimu niliona kama angewaachia Wengine wapige huenda kuna Jambo la Faida lingetokea kwa Simba SC ila akawa anang'ang'ania Yeye na Matokeo yake Mipira yote akaiharibu.
Saido Ntibanzokinza asilazimishe sana Ufalme ndani ya Simba SC kwani hata Wafalme waliopita Simba SC akina Okwi na huyu Chama hawakuupata ndani ya Msimu Mmoja bali ni baada ya Mwaka hivyo nae atufanyie Kwanza Kazi na Sisi Wenyewe ndiyo tunajua ni lini tutamtunuku nae huo Ufalme anaoulazimisha.