Uchaguzi 2020 Naheshimu mchango wa Tundu Lissu ila ni hatari sana watu kama yeye kuwa Rais

Huyu jamaa kapewa kibarua cha kuja kuchafua watu mtandaoni ila kwa bahati mbaya uwezo wake wa kujua mambo huko chini.
 
Wewe unamlenga mkulu na ameshakusoma sasa jiandae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika historia yako nawaona viongozi wa kijeshi au waliotokea jeshini. Kweli sikupingi wanaotokea jeshini kwa ushawishi wa ubabe wa kivita ni hatari.
Hebu weka mifano ya wale wasio wa kijeshi wa caliber ya lisu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kingine labda nikuulize,
Utata wa lisu na misimamo yake kwa uelewa wako hasa unadhani uko nyuma ya nini hasa?
Binafsi, mimi naona huyo lisu hatishi kama muhasi, hana jeshi, ni dhahiri elimu na umahili wake wa sheria ndio shida kwako.
Kitu ambacho kikatiba sio tatizo, kisheria kuwa critics sio shida, shida ni kwa wale wasiopenda sheria isiwe msumeno ndio wana shida naye.
Huyu mtu ukatae usikatae lazima aingie kwenye historia katika kama
1. muasisi wa kuvunja imani potofu kuwa viongozi hawahojiwi wala kusemwa wanapokosea and he was ready for the consequences and he is always ready.
2. Watamsoma pia katika sheria kama huko mbeleni na ameitendea haki taaluma yake. Sheria haiogopi na mwanasheria yeyote anayeogapa kuifanya sheria itende hana tofauti na vibaka tofauti tu ni huyo kakaba katika fani, ni waporaji haki hao


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ndo shemeji yake dr slaa?kwa mkewe josephine mshumbusi? Unakula kuku tu kwa shemeji yako.safi sana.
 
Kwahiyo unataka kusema rais wetu hana msimamo mkali ? nyerere hakuwa na msimamo mkali? jipange upya!
Nazungumzia upinzani makini, nipo kuangalia upinzani unaotakiwa dhidi ya serikali iliyopo, hapa nimekusudia kumkosoa harakati za tundu hata kama hata kama tyungekuwa utumwani
 


Duuh!!

"....kama utapata nafasi, hakikisha unasoma tena mada yako kwa umakini uliotukuka, utagundua kuwa Tundu Lissu uliyemwandika na mifano uiliyotoa havifanani kabisa na mtu huyo na, badala yake, kuna mtu dhahiri ambaye anafanana na baadhi ya watu ambao umewataja kwa mlengo hasi (negatively)..."
 
Nazungumzia upinzani makini, nipo kuangalia upinzani unaotakiwa dhidi ya serikali iliyopo, hapa nimekusudia kumkosoa harakati za tundu hata kama hata kama tyungekuwa utumwani
We ni kibaraka tuu, uliyoyaandika lazima ulipwe tuu.
 
 


Andiko langu nimetumia harakati zilizofanywa na akina mandela na Luther kwenye nchi zilizokuwa na tawala katili zaidi duniani. Lakini harakati zao ziliishia kupigania usawa na sio visasi na chuki dhidi ya anayekuonea. Hiyo ndio busara ninayoisema mimi. Unaujua wakati idd Amini Dada anampindua Obote Uganda watu hali haikuwa shwari Uganda, uganda ilikuwa imejaa shida, Watumishi wa umma kadhaa walikuwa hawalipwi mishahara, rushwa ilikuwa juu na kulikuwa na kupigania madaraka kati ya kabaka na Obote. Ivyo waganda wakamchukulia amini kama mkombozi. Uovu wa Obote uliwapofua na wakakuubali kusimika mzizi wa mtawala asiyekuwa na elimu kabisa.

HII NDIO VIEW YANGU SIANGALII UTAWALA ULIOPO ILA LISSU ANAFAA KUWA MBADALA WAKE?
 
Hayo unayasema mbona hayafanani na lisu mbona km kuna mtu unamlenga
Hauwezi kuelewa wala kuona tofauti kwa sababu hata wewe hauchukui muda wako kutafakari kauli za hawa wote. Inawezekana kabisa kwa vile kichwa chako kimeaminishwa unachoamini kwa sasa hata kusikiliza huwa hausikilizi kwa sababu umeambiwa kuwa hawana jipya.
Sijui tutumie mbwinu ipi kufuta huu ujinga, hauwezi kujua mawazo yao kama hauwasikilizi wanachosema.
 
UHARO
 
Unakosea sana kumfananisha Thomas Sankara na maajabu mengine yaliyopo apa duniani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakosea sana kumfananisha Thomas Sankara na maajabu mengine yaliyopo apa duniani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapokuja kwenye mitazamo Tomasi Sankara uwenda alikuwa na view nzuri juu ya Taifa lake. LAKINI HAKUANGALIA UHALISIA KUFIKIA MALENGO HAPO NDIPO NAPOMFANANISHSA NA LISU. ile kujua tu yeye ni raisi na uongozi wake ulikuwa wa kijamaa na magaribi wasingemtaka. Alafu bado unatembea bila ulinzi ndiko alikoweka maisha yake rehani. Kurusu watu kuwa mahakama,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…