jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Nasema hivyo maana vitu anavyofanya diamond mtanzania ni ngumu kufanya ni maneno kidogo vitendo vingi,
mfano
Kanunua nyumba S.A na Tabata ,hakutoa ahadi ila ni vitendo kafanya ila upande wa KING kiba yeye aongea tu pasi na vitendo mnamo may 2016 alipo saini na SONY alisema atazindua TV yake iitwayo ALIKIBATV lakini mpaka leo ni ndumi la kuwili