jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Hahaha usitake nicheke usikuLEO NDO UMEPOST KITU CHA KWELI!!
Alikiba pole sana kimekuuma ila mi.nimefurah ulivyofungua tv yako kaka hongera zako kwa hilo ila mwwnzio akifanya kizuri msifie sio.kuja kumtusimbona watu kibao wana nyumba kibao south africa lakini hawajulikani hebu acha kupotosha huku south afrika kuna wabongo wengi matajiri kuliko huyo kikalagosi
Sasa kama hawajulikani we umejuaje kama wapo kibao?mbona watu kibao wana nyumba kibao south africa lakini hawajulikani hebu acha kupotosha huku south afrika kuna wabongo wengi matajiri kuliko huyo kikalagosi
Nimekuelewa[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Nasema hivyo maana vitu anavyofanya diamond mtanzania ni ngumu kufanya ni maneno kidogo vitendo vingi,
mfano
Kanunua nyumba S.A na Tabata ,hakutoa ahadi ila ni vitendo kafanya ila upande wa KING kiba yeye aongea tu pasi na vitendo mnamo may 2016 alipo saini na SONY alisema atazindua TV yake iitwayo ALIKIBATV lakini mpaka leo ni ndumi la kuwili
Acha uchuro, unapokuwa msanii unakuwa kioo cha jamii. Unakuwa celebrity huwezi kuwakwepa waandishi na camera zao. Celebrities wengine hata akikojoa uchochoroni hiyo ni habari kubwa sana.LEO NDO UMEPOST KITU CHA KWELI!!
ila Ali Kiba huwezi mfananisha na tozi wa Mbagala hata Kidogo!!
watu wanafanya vitu kiutu uzima!
NANI UMTANGAZIE MAHARAGE ULOKULA JANA?
Kwani Kujenga Nyumba Ndio Kutangaza?
Kuna nyumba zaidi ya milioni 12 Bongo! Je Wamiliki walikupa taarifa wakati wa ujenzi?
Shabikia Mziki Kijana, Achana na ushakunaku!
Ali Kiba is the Best artist in ..... everywhere!
Kwani alivyo saini Sony alifanya siri? Mbona haraka alitupia mtandaoni na watu wa kaona na kujadili? Msanii sofa take kubwa ni kama alivyofanya mondo duniani wasanii Waite wanafanana kwa sababu mambo yao hua yapo waziLEO NDO UMEPOST KITU CHA KWELI!!
ila Ali Kiba huwezi mfananisha na tozi wa Mbagala hata Kidogo!!
watu wanafanya vitu kiutu uzima!
NANI UMTANGAZIE MAHARAGE ULOKULA JANA?
Kwani Kujenga Nyumba Ndio Kutangaza?
Kuna nyumba zaidi ya milioni 12 Bongo! Je Wamiliki walikupa taarifa wakati wa ujenzi?
Shabikia Mziki Kijana, Achana na ushakunaku!
Ali Kiba is the Best artist in ..... everywhere!
Bibi yako anamiliki London nnAlafu mpunguze ushamba nyie watu , kumiliki nyumba tena kichochoroni south Africa ndo mnatangaza
Hapana siyo London lakin watu wengi wana majumba tena mpaka marekani hawatangazi mpaka mfanye juhudi kuzijua, mfano sikuwahi kujua kama kamilion anamiliki nyumba marekani mpaka nilipokutana na waganda Texas wakanipeleka nyumba ilipo, lakin sijawahi kuyasikia popote , nimeenda Georgia nimekuta wasanii wengi wa Kongo wana majumba uko, lakin hawatangazi, lakin sisi watanzania nadhan ni washamba sanaBibi yako anamiliki London nn
Cha ubishi wa kishambaLEO NDO UMEPOST KITU CHA KWELI!!
ila Ali Kiba huwezi mfananisha na tozi wa Mbagala hata Kidogo!!
watu wanafanya vitu kiutu uzima!
NANI UMTANGAZIE MAHARAGE ULOKULA JANA?
Kwani Kujenga Nyumba Ndio Kutangaza?
Kuna nyumba zaidi ya milioni 12 Bongo! Je Wamiliki walikupa taarifa wakati wa ujenzi?
Shabikia Mziki Kijana, Achana na ushakunaku!
Ali Kiba is the Best artist in ..... everywhere!
Wewe kama sio kichaa,basi ni chizi kabisa. Sasa hao wooooooooote uliowataja kuwa wanamiliki huko ulikokutaja,hao waliokuambia wewe wamejuaje,au unataka kusema wameoteshwa ..................... Acha ujinga,inaonyesha wewe ndio ulikuwa hujui tu kuwa msanii fulani ana nyumba sehemu fulani,lakini wapo wanaojua na wanajua baada ya yeye mwenyewe kutangaza. MBONA HATA ALIKIBA ALITUTANGAZIA KUWA KAPANGA NA HIVI SASA KATUAMBIA KUWA YUPO KWA MAMA. SASA JIULIZE HUYU MTU AKIPATA NYUMBA BONGO ITAKUWAJE HAPA,KAMA YUPO KWA MAMA KATUAMBIA.........???Hapana siyo London lakin watu wengi wana majumba tena mpaka marekani hawatangazi mpaka mfanye juhudi kuzijua, mfano sikuwahi kujua kama kamilion anamiliki nyumba marekani mpaka nilipokutana na waganda Texas wakanipeleka nyumba ilipo, lakin sijawahi kuyasikia popote , nimeenda Georgia nimekuta wasanii wengi wa Kongo wana majumba uko, lakin hawatangazi, lakin sisi watanzania nadhan ni washamba sana
Lakini bro,kama ALIKIBA aliwekwa na mwanamke KUNDUCHI na kusema ni ya kwake wakati si kweli, na sasa anasema yupo kwa mama K/Koo kwa vile hana shida je unaonaje huyu mtu akipata nyumba yake si ndio itakuwa balaa hapa ndani .....???Alafu mpunguze ushamba nyie watu , kumiliki nyumba tena kichochoroni south Africa ndo mnatangaza