makubwa haswaa, yaani ndio waume zetu hawa, kweli nitakuwa tayari kumsamehe mr kwa kosa lingine lolote lakini sio kuvuliana chupi na h/g ..nope nope...akakamate nguchiro huko nje.
Duh!!!!
Nauheshimu sana ushauri wako, lakini kwa jinsi ninavyompenda mke wangu, kamwe sito diriki kutembea na mwanamke yeyote zaidi yake.
Mwambie wazi kuwa yeye ni mtoto kwako na ajiheshimu kama anapokuwapo mkeo. Housegirl wa siku hizi wanawinda kuolewa, narudia KUOLEWA na baba zao wanakofanya kazi. Tunaishi nao na tumeyaona hayo. Siku hizi wanafundishana kabisaaaa, kwamba inapotokea nafasi, maza haus apinduliwe wao washike usukani. Tena mwambie asipojirekebisha mkeo akirudi utamuarifu. Mbona mkiwa mmelala na mkeo haji kuwagongea?! Nyambaf kabisa huyo. :spy:
Nimeoa na ninaishi na mfanyakazi nyumbani.
Mke wangu kaenda kijijini kwao kumuuguza dada yake hivyo basi nyumbani nimebaki mimi tu na msichana wetu wa kazi.
Ijumaa usiku, nlirudi mapema sana nyumbani, binti akawa haishi kukatiza mbele yangu na kanga moja tu aliyojifunga kifuani, yaani kanga ilikuwa inaangaza sana hadi nikawa naioana chupi yake ya pikini pila hata kutumia nguvu.
Jumamosi alivaa kasketi kafupi sana, na kali kabisa ni ya jana usiku.
Alikuja kunigongea mida ya saa tano usiku, akisema chumbani kwake anasikia sauti za watu wanaongea dirishani.
Nikaenda kusikiliza hizo sauti, kukawa kimya kwa zaidi ya dk 15.
nikarudi chumbani kwangu kulala.
Saa saba akaja na kuniambia hawezi kulala kwa sababu ya woga hivyo anaomba nikalale naye.
Duhhhh, ikabidi nimwambie kuwa mi mwenyewe naogopa hizo sauti kwa hiyo akalale sebuleni.
Akaenda huko na hajanisumbua tena.
Kichwani nimebaki na maswali huyu binti ananiteha au mimi ndio nawaza vibaya?
Haaa makubwa haya!!!!
Nimependa sana ushauri wako ...Jihadhari huenda ni mtego wa mkeo kukupima imani. Pia huenda huyo msichana anataka kukuharibia ndoa yako.
Kuna baadhi ya wasichana wa kazi ukisha tembea naye unamsahau jumla mkeo
Kaa chonjo Dena,,hahaha
Nishaibiwa Wiselady
Mkuu,
Kama "analipa", tafuna!
ha ha ha kama ishu ndogo tu ya housegirl unashindwa mahesabu je ukikutana na mapaka fisi nadhani hapo kwenye RED utakuja omba ushauri hapa...Duh!!!!
Nauheshimu sana ushauri wako, lakini kwa jinsi ninavyompenda mke wangu, kamwe sito diriki kutembea na mwanamke yeyote zaidi yake.
nadhani nimejifunza kitu humu kny hii mada...
1.Ni marufuku kuleta housegirl mkali kushinda wewe mama mwenye nyumba...
2.Ni marufuku kusafiri,na kumuacha housegirl na baba mwenye nyumba tu nyumbani...
ukikikuka hizi sheria mbili,yatakayotokea usimlaumu mtu..LOL:embarrassed:
Haya bwana nitakukumbusha hiyo sentensi mika mitano ijayo!