Nahisi Hii ni Faulu Simba Wanataka Kucheza

huyu M-Senegal vipi tenaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

kwenye Mechi dhidi ya Vijana Shinyanga nasikia ali-perform below standard, ni kweli au kuna fitina zinatengenezwa??
 
Majungu tu mkuu, dogo anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…