Nahisi huyu manzi alitaka kuniambukiza gono makusudi

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Last two weeks nilikua na miadi ya kukulana na pisi moja kali sana,lkn ghafla nafsi ikakataa kulana nae..nilivyomwambia demu ghafla akaanza kunichukia eti kwa nini nimekataa kumla nilikua namchora au?
Leo demu yuko hoi kaniambia kapima kaambiwa ana gono so kaanza dozi.
Nawaza hapa alikua na nia ya kunipa gono au?
 

Angekuwa na nia ya kukuambukiza, Leo asingekupa taarifa kwamba anaumwa Gono..
 
Njia panda
 
Vijana wanaamini ni ngumu kuishi bila uzinzi ndio maana wengi ni wafu walio hai.
Kabisa...akiwa na uwezo wa kumudu mahitaji yake kama chakula,mavazi na makazi baasiii...
Anaona kamaliza maana ya maisha
 
Hawa mademu wakali wengi ni wagonjwa lakini hawajijui ukigusa tu umeisha.
 
Huyo alitaka kukupa gono la mwisho mwisho kabla hajaanza dozi. Na kwa nini umle mwanamke bila kujikinga, mademu wenyewe hawa wa mjini?
 
GONO linamuuma wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…