Nahisi kama vile mpenzi wangu amekeketwa

Ahaaaaa nimekumbuka dr flan wa kibongo, mwanamke wa kinyarwanda alikuwa anajifungua dr huyo si akakutana na vitu virefu viwili mweeee si akavikata akizan mtoto hatapita loh mwanamke alivuja hadi kuishiwa damu. Mleta uzi kama unataka ivo vitu nenda, kagera(karagwe, ngara tho si wote) uganda na rwanda.
 
Siyo kwamba kkwangu bila hicho ni shida ila nataka kujua je mwanamke bila kisimi kirefu hicho amekktwa au la!
 
Siyo kwamba kkwangu bila hicho ni shida ila nataka kujua je mwanamke bila kisimi kirefu hicho amekktwa au la!
demu wako unamuogopa au..hivi vitu si vya kuongea wawili tu na makaelewana..jibu zuri analo yeye
 
Naomba kujua inawezekana mwanamke kukosa kisimi kama hajakeketwa?

Msaada rafadhali.

kuna nguvu ktk mawasiliano pale yanapo katika na mahusiano yamekufa…
Ebu ongea na mrembo wako mkuu mkalishe muulize ukute ni kilema au kwel kakeketwa au ni kadogo sana na haujakaona. ko talk to her..
 
mkuu kama unapenda vsmi na huyo ulienaye hana si utafute mwngne tu mwenye kism kirefU.kuliko kuja huku kupost huk jf
Kuna mijitu haijui jinsi ya kuheshimu mijke yao jitu kama hili siku ukimkuta na kijike chake huna utakachoelewa anachokwambia zaidi ya kufikiria kinembe cha mwenzawake!alishindwa nini kumuuliza "mbona ......chako kidogo au hakionekani?" tena kimahaba kiasi kwamba mwenza hatojisikia vibaya kuulizwa!
 
Duh hizi post nyingine Ni kumalizana wewe na mwenzi Wako room. Grow up bhana bring here what you can't solve mwenyewe
 
Kuna sehemu niliona wameandika,K bila hicho kitu ni sawa na TV bila kingamuzi!
 
weka picha .........tujue kwa kuanzia kukushauri.
 
Nenda mlimani city kamnunulie kisimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…