inama
Senior Member
- Oct 9, 2021
- 181
- 353
Habarini wana JF
Nilikua namikasa isiyo elezeka kama ifuatavyo:
Mwaka 2017 - nilikutana na mdada flan nkamtongoza akakubali lakin tulikuaja kuachana cz alinikaushia. Mwaka huohuo tena nikaopoa katoto kakanipenda sanaa lakin nkajakugundua kua anamasela wengi mwishowe nayeye akamua kunikaushia cz sijuagi kumwacha mtu
2019 - nkakutana na mdada mwingine lakin hatukudumu sana sababu alienda mkoa wambali kidogo
2020 nkasema ngoja nipumzikee sababu kila napopita nimisukosuko
2021-akatokea mdada mwingine black beauty akanipenda mnoo tukanzisha mahusiano ila nilikutana na misukosuko mingi wakat wa mapenz kwan kunakamchezo alikua anakacheza na wenzake nkamvumilia ili abadilike Ila ikashindikana sikumuacha Ila baada yamuda nikaja kugundua kua anajamaa wake huko kijijini naanampenda sana Mimi nikipotezea mdaa.
Katika mausiano yangu nayake aliniambia kua jamaa wake nimtu wakuamin vitu vya ajabu ajabu kwahyo anaweza kunifanyia kitukibaya nkamua kuachana nae kwan nlishagundua anamtu.
Jamaa alipojua kua nilikua namgefeda dem wake aliishia kulalamika ilankaina isiwekesi nkamwachia. Jamaa nilisha muomba msamaha nakumuambia kua dem alikuja mwenyewe nasikujua kama anamtu akaniambia kansamege ila.
Tokea siku hiyoo mpaka leo hii nimeshatongoza wanawake 23 nakila mmoja ananikatalia nikipiga saund sana naishia kuambiwa sikupendi na sina hisia nawewe namaneno menginemakali ninapo andika ujumbe huu nimesha tongoza wengine wawili ila mwendo niuleule "" sina hisia nawewe na sikupendi""
Sasa najiuliza hii hali inakuaje sababu sahv nimda natafta mwanamke wakumuoa lakin naona kama nagonga mwamba.
Msaada wenu wakuu