Nahisi kaniachia gundu...

Samahani lakini,

Umri wako ni chini ya miaka 21
au chini ya miaka 31
au chini ya miaka 41?

Nina swali la nyongeza na ushauri ukinijibu
 
Hela siyo kila kitu kwenye mapenzi. Hiyo pesa unayompa mwanamke inaweza kutumika kumlipia kodi au ada mwanaume anayempenda.
Hakuna mwanaume anaweza kumtuliza mwanamke. Mwanamke akiamua anatulia mwenyewe.
Ila mwanaume anatulizwa na mwanamke akatulia. Mapenzi siyo pesa, wengi walioamini pesa ndiyo kila kitu kwenye mapenzi ndiyo huwa wanalia pindi unapofirisika au kuumwa. Hukimbiwa kwasababu ulitafuta mwanamke ili atumie pesa zako. Sasa huna, akae na wewe kufanya nini?
Hisia za wanawake siku hizi zinachangiwa na pesa fanya kujaribu
 
Mpe pesa mpe pesa. Ayo ya kufirisika kuumwa yatakuja baadae.

Mpe pesa mpe pesa ayo ya kumpa mwanaume anayempenda atajua yeye

Mpe pesa mpe pesa atakupa upendo atakama wa uwongo kikubwa ni upendo.
 
Mwanamke wa kumpa pesa ni yule mwenye watoto wako maana atakula pesa hiyo na watoto wako. Ukimnunulia gari, na watoto wako watapanda hata kuendesha gari.
Wanaume rijali na wenye akili timamu huwa wanafanya hivyo

Sawa wacha sie tuwape pesa wawaletee
 
Usharogwa wew sio bure

hao wapumbavu wanaokushaur utafte pesa, wakae wakijua mapenzi si pesa kila muda, japo pesa ina umuhimu lkn umuhimu wake ni kwa wanawake makahaba, yaan walioamua kuitumia K" yao kuwa kitega uchumi,

uwepo wa hawa makahaba wapenda pesa ktk mapenzi haiondoi ukwel kuwa wapo wanawake wasiohitaji hizo pesa zaid ya upendo wa kweli.

wew umekataliwaje na wanawake wengi kiasi hicho na uone ni kitu cha kawaida?.

jiongeze mzee baba, dawa ya moto ni moto, sitokwambia direct ufanye nini, lkn najua wajua kuwa dawa ya moto ni moto, yaan dawa ya gundu, nuksi, vijicho, mikosi, wapo wahusika wa hayo mambo.

usiwafikilie sana hawa wapuuzi wanaokushaur utafte pesa, wakat huo wapo ambao hawana pesa lkn wanawatafuna madenti buree na pesa wanatoa hao hao madenti.

uamuz ni wako, kuamua kushughurikia ushauri wakipuuzi wa hawa watafta pesa, ama kusolve matatizo yako behind the human ability.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umepigwa gundu la mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…