Jamani nimejaribu kutafakari nimeona ili ccm wasiachie moja kwa moja madaraka ni lazima kwenyehiyo katiba mpya tunayoililia wataweka kipengele cha serikali ya umoja wa kitaifa ilimradi tu waendelee kuwepo madarakani hata kwa kuchakachua
kwa hilo jamani naomba tuwe makini tusifanye kama walivyofanya wenzetu wa zanzibar.
Nawasilisha.
kwa hilo jamani naomba tuwe makini tusifanye kama walivyofanya wenzetu wa zanzibar.
Nawasilisha.