Dah....kwa style hii atakuwa unapata ban mara kwa maraDuh yaani unataka nife kabisa. Sifi ng'oo na CCM itaendelea kutamba daima
Utakuwa una gundu baya naona umerudi kifungoniHahahahahahahahahahahaha badala uombee dj au mamvi anyongwe kwa sababu ya unafiki na uchonganishi. Mimi nipo na sasa BAN naziepuka sana
Tayari tenaDah....kwa style hii atakuwa unapata ban mara kwa mara
Dawa ya ban ni ban nyingineLeo nimetoka kifungoni (BAN). Natafuta dawa ya kujikinga na BAN za JF. Naomba ushauri.
Dah..kama kweli ubongo wa mwanaume una mabox mengi...huyu mwenzetu analo moja tu πTayari tena
Mmh kwani sio demu huyuDah..kama kweli ubongo wa mwanaume una mabox mengi...huyu mwenzetu analo moja tu π
Dah...huyu mwanaume bana...labda awe katikati πMmh kwani sio demu huyu
Jamani jamani!! Hebu nisaidieni nitampataje? Maan mida hii saa sita usingizi hakuna
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Dah...huyu mwanaume bana...labda awe katikati π
π[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Huyu unaweza kumuombea msamaha ukajikuta unaingia wewe kifungoni badala yakePunguzaa kisabengoooo