Nahisi kutaka kutapeliwa

Mtoa mada unaambiwa umeshinda,kwani hio bahati nasibu ilichezeshwa wapi na lini?

THINK BIG BRO.
 
Bora umeshtuka mapema mkuu, chezo hilo alafu hakuna kitu kinapatikana kirahisi hivyo
 
Dah aisee situmi eti kaniambia ndio nimtumie huyo yupo Kenya kiserikali nandio mweka hazina wao eti dah

Wizara IPO dododma siku hizi
Unaweza tafuta mawasiliano ya wizara uulize hicho kitu kama kipo wakuthibitishie nadhani ukiingia kwenye tovuti ya wizara kutakuwa na mawasiliano
Hiyo jamaa achana naye ni tapeli
Ila fuatilia wizarani kujua ukweli
 
UKIONA UNAITWA KWENYE FURSA UJUE WEWE NDIO FURSA YENYEWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…