Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,508
- 2,619
Habari ndugu zangu!
Nimebadilika sana, nahisi kutokuwa sawa kiroho!
Nipo mbali na nyumbani tangu 2021, yaani huwa tu naenda kusalimia na kurudi.
Nipo Dodoma kikazi na tangu nije huku nimeona nimebadilika sana!
Hapo kabla nilikuwa mkimya sana nisiyependa kukaa sehemu zenye watu yaani kiufupi nilikuwa na tabia na mienendo yote ya introverts.
Tangu naanza kukua nilikuwa hivi hadi nilipokuja huku nikakaa kama mwaka mzima au hata miwili nikiwa sijabadilika chochote!
Baada ya kuja huku na kuzoea mazingira nikaanza kubadilika, nikawa muongeaji sana, nikawa na marafiki wengi hasa wanawake.
Baada ya kupata hawa marafiki nikaanza kubadilika na kuanza kupenda wanawake yaani kiufupi nimekuwa Malaya.
Yaani imefika hatua mimi kila nikikaa muda wote naangalia tu wanawake na kila anayepita mbele yangu natamani niwe nae!
Imefika wakati nikiwa naongea hata na Baba yangu au Mama yangu halafu nione mwanamke anapita, nakata simu kwanza ili nimuongeleshe huyo mwanamke anayepita mbele yangu. Kiufupi, nikiona tu sketi nachanganyikiwa!
Nina umri wa miaka 31 sasa lakini kwanzia naanza kujitambua hadi mwaka 2021 wanawake niliolala nao hawafiki 10.
Lakini tangu nije kuishi mkoa huu nimelala na wanawake wengi sana! Ndugu zangu, nimekuwa addicted sana na ngono! Kuna mpenzi wangu mmoja niliingia nae kwenye uhusiano mwaka 2022 alikuja field mwezi wa 7 mwaka huu akakaa hadi mwezi wa 10 lakini hamuwezi kuamini nilikuwa nataka nishiriki nae tendo Kila iitwayo Leo na kila alipokuwa akikataa kuja kukutana na mimi hata siku moja nilikuwa nachukia sana.
Wakuu, kila nilipokuwa nashiriki nae tendo kwa siku 1 ya saa 24 nilikuwa napiga wastan wa bao 7 au 8 Kila siku, na hata akikaa siku 2 au 3 nikiwa sijakutana nae basi naenda Kwa michepuko! Kiufupi, hamu ya kufanya ngono haiishi.
Nilikuwa najitahidi kula sana lakini, nimeona afya yangu ya kimwili imepungua yaani nimekonda! Kuna siku nakumbuka sikula vizuri usiku nikapiga bao 6 hadi alfajiri nikaamka kwenda haja ndogo nikaanguka chooni kutokana na miguu kukosa nguvu!
Tabia yangu ya mwanzo ya ukimya nilikuwa naichukia lakini Kwa namna nilivyobadilika yaani natamani hiyo tabia irudi.
Nilikuwa sio mtu wa wanawake, sipendi sehemu zenye mikusanyiko na nilikuwa nawaogopa wanawake. Sasa hivi nimekuwa muongeaji kupita kiasi Hadi najichukia.
Hakuna mwanamke yeyote namuogopa na mara nyingi nimekuwa napenda sehemu yenye mikusanyiko wa wanawake!
Uongeaji huu naona kuna nyakati unanishushia hata heshima niliyokuwa napewa hapo kabla maana najikuta kuropoka tu hata mbele ya watu hata nisiokuwa najuana nao! Huwa najaribu sana kuacha hii tabia lakini nimeshindwa! Hali hii ya kuwa na marafiki wengi wa kike imeniletea sifa mbaya mtaani ya kila mtu kuona mimi ni Malaya.
Kuhusu kazini nafanya vizuri, naaminika na Boss na kipato ninachopata angalau sio mbaya sana! Niliondoka tu nyumbani nikajilipua nikaenda Iringa, na hatimae nikaja huku nikapata kazi hadi sasa bado nipo. Sijawahi kwenda Kwa Mganga na kila sehemu nikienda mambo yangu yanakuwa mazuri.
Nasema mambo yanakuwa mazuri Kwa sababu, siku ya kwanza naenda Iringa nilijilipua nikiwa tu na hela ya nauli na akiba kidogo (nilileta Uzi hapa jukwaani),
👇👇👇
Naondoka nyumbani kwenda kutafuta maisha. Naenda Iringa kwanza, mwenye kazi au connection tafadhali.
Nilivyofika sikuwa na connection yoyote zaidi ya WanaJF tu hapa, nilipata kwenda hadi Tosamaganga nikakaa kama week nikapata kazi Iringa mjini hapo.
Haikuchukua muda nikapata tu mtu akanielekeza (nikaomba tu kama ruhusa kazini) nikaja pia huku Dodoma bila kuwa na mwenyeji, nikapata kazi ndani ya week mbili na hadi sasa nipo hapa na take home pay ni laki 5.
Hapo kabla nilikuwa napenda kusali, nilikuwa mtu wa maadili lakini nimeona hayo maadili pia yanapungua!
Nimeandamwa na ndoto za mara Kwa mara hasa za manyoka, kula nyama, kwenda chooni na Kuna ndoto Moja imekuwa ikijirudia sana sana!
Nimekuwa nikiota nipo mahali fulani ambapo kuna sehemu (mara nyingi ni kama culvert jembamba lenye Giza na hewa ndogo) natakiwa kupita ili nitokee upande wa pili penye mwangaza! Kwenye ndoto huwa inanitokea sana na kila nikijaribu kupita hapo nashindwa kwenda huo upande wa pili kutokana na nafasi kuwa ndogo au naweza kupita nikifika katikati naishiwa pumzi narudi nyuma tena!
Wakuu hii ndoto inajirudia sana sana!
Kuhusu hela napata si haba lakini Kila nikisema nipange budget zangu vizuri nakuwa napata shida za ghafla zinazonifanya nitumie hata akina yangu ninayojiwekea! Hii inanipelekea kutotimiza malengo yangu madogo madogo ninayojiwekea
Kutokana na haya, nahisi siko sawa ndugu zangu, nitarudije katika hali yangu ya mwanzo!? Nahisi kutopiga hatua pia kimaendeleo! Naomba msaada wenu wa namna yoyote!
Natanguliza shukurani.
Mshana Jr Rakims Eli Cohen Artificial intelligence