Nahisi kutokuwa sawa kiroho. Pepo wachafu wameniingilia!

N
Ndefuuuuu ww si ni msomi summarize kidogo
 
Umekuwa baharia, hiyo ni hali huwakuta vijana wengi hasa kwenye majiji, suluhu yake oa
 
Umekuwa baharia, hiyo ni hali huwakuta vijana wengi hasa kwenye majiji, suluhu yake oa
Huyu Binti anamaliza chuo mwezi wa 7 mwakani yeye yupo tayari kuolewa na mimi na amekuwa akiniambia kuhusu Nia yake ya kuwa mke wangu na amekuwa akinisihi sana nimpeleke nyumbani kumtambulisha ila nampiga chenga kibao!
Kuna namna amefanya Dada yake akanifahamu, Mama yake, na Kaka yake ingawa sijawahi kwenda kwako kutambulishwa.
Kiufupi mkuu, sina mpango wa kuoa Kwa sasa ila huyu ndiye Binti ninayempenda.
 
Huna mpango wa kuoa? Sawa jiandae kwa yafuatayo na yatakuwa kama somo ili ubadilike kitabia
1. Kufumaniwa
2. Kuugua magonjwa ya ngono
3. Mikosi
4. Lockup/jela
5. Kununua ngono nk
Ukiaona hayo ujue hilo ni onyo unepewa badilika kabla hayajakukuta makubwa
 
Marrying unprepared is dangerous!
always get yourself prepared before getting a woman pregnant or
married, don't allow anyone to push you into unprepared marriage and thereafter remained unarranged and scattered for the rest of your life! Kuna mtu mzima aliwahi kuniambia hivi, na naona pia Kuna ukweli. Huwa naishi na huu ushauri!
 
Ungetakiwa ulivyofika tu miaka 28 ungetafuta mwanamke wa kuoa na ukapata japo mtoto ingakubadilisha sana kimaisha
 
Sijataka kuficha chochote mkuu, nimeongelea uhalisia kutokana na kuwa addicted na ngono!
Hapakuwa na ulazima wa kusema ni bao ngapi huwa unapiga otherwise kama ulitaka tu kuufanya uzi kuwa mrefu.

By the way we endelea kuwashenyeta mkuu 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…