Nahisi kutolewa knockout kwa hili swali.

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
626
Habari ya sikukuu mabibi na mabwana,

Mimi ni kijana mwenye miaka 20+.., jana nilibahatika kuona tangazo la kazi nchini UK, sasa katika kuapply kuna baadhi ya maswali unatakiwa uyajibu something like written interview.

Swali linauliza Je, "we love meeting people who leave things a bit better than they find them. So, please tell us about a recent situation where you took the inittattive and made something better? (150 words or less)

Nina karibia masaa mawili sasa nalitafakari kwa njia zote nimeshindwa kupata mwanga.

N.B
Kuna mtu ataniuliza kwani *unateseka*..? Ni kweli nateseka ndio maana nimeomba mchango wa mawazo na upembuzi juu ya hili swali.
 
Kwani mjomba unakwama wapi??
Wewe kwenye maisha yako yote mpaka sasa hujawahi kwenda sehemu na kukuta system flani lakini baada ya kukaa hapo ulipoondoka ukaacha mabadiriko ambayo ni +ve..

Kama huna basi tunga hata ka story ka ulipoenda shule ya advance ulikuta team ya mpira iko disorgaized nk nk n.k

Mbona watanzania kipaji cha kisema uongo kipo damuni?? Wewe unatokea nchi gani??
 
Kumbe ni story yoyote tu waweza tunga..!! Maana mimi fresh from school ndomana nikakwama hapo. Wacha nikatunge story sasa.
Shukrani kwa ushauri
 
bora hilo mkuu mana maswali yatakayofuata utachoka kabisa, siunajua hayo manchi na mambo yao ya ushoga
 
Tena umenikumbusha, hapa itabidi niwe neutral. Sipondi wala sisifii sana
 
Swali jepesi hili umeshindwaje kulijibu mkuu??

Mwambie kuwa ulishapewaga bustani ya maua ambao ilikuwa inaelekea kufa,lakini ukapambana ikarudi kuwa green..
 
Kwani mjomba unakwama wapi??
Wewe kwenye maisha yako yote mpaka sasa hujawahi kwenda sehemu na kukuta system flani lakini baada ya ktk ww hapo ulipoondoka ukaacha mabadiriko ambayo ni +ve..

Kama huna basi tunga hata ka story ka ulipoenda shule ya advance ulikuta team ya mpira iko disorgaized nk nk n.k

Mbona watanzania kipaji cha kisema uongo kipo damuni?? Wewe unatokea nchi gani??

Kwamba watz kipaji cha kusema uongo kipo damuni...hahahaha umemaliza
Kama naona Hao wazungu watakavyopata taabu sana
 
Swali jepesi hili umeshindwaje kulijibu mkuu??

Mwambie kuwa ulishapewaga bustani ya maua ambao ilikuwa inaelekea kufa,lakini ukapambana ikarudi kuwa green..
Mkuu usijali, yani nimeshamaliza tayari. Yani pale hawachomoki.. Hahahaa..,
 
Wambie uliwahi kwenda kijiji fulani kilichokua kinapitiwa na mto wanakijiji wengi wanajihusisha na kilimo cha umwagiliaji. Mfumo wa umwagiliaji waliokua wanautumia haukua wenye ufanisi hivyo hawakupata mazao ya kutosha pia muda mwingi waliutumia shambani hivyo kushindwa kufanya shughuli nyingine za kimaendeleo.

Wewe uligundua changamoto hii ukabuni mfumo janja wa umwagiliaji wenye ufanisi hivyo wakulima walipata mazao mengi kipato kikaongezeka pia waliweza kujihusisha na shughuli nyingine za kimaendeleo.
 
Next hii itakuwa point namba 1 kwenye swali kama lile.., shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom