Nahisi kuwa mwenzi wangu anasoma sms zangu

Nahisi kuwa mwenzi wangu anasoma sms zangu

mhogoz

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
739
Reaction score
1,195
Kuna jambo nilichart na mchepuko Sasa naona kuniambia scenario nzima jinsi,nilivyokuwa nafanya hiyo charting na sms nilizifuta.

Sasa ninaomba kufahamishwa ni kwa namna gani naweza kuondokana na kadhia hii wakuu.pia naomba kujuzwa hii extension rbm.goog inamaana gani kwenye settings za sms
 
Hatuwezi kuuza Siri za kambi kwa msaliti KE

wewe baada utafute njia ya kutubu unatafuta njia ya kujitia shimoni


KENGE ANAOGIPA SANA MVUA IKUMKUTA MVUA AKIWA NCHI KAVU HUKIMBILIA BAHARINI KUKIFICHA
 
Subiri akuue halafu sisi tutasema ni afya ya akili
 
Kama wewe ni KE niahidi nikikusaidia na mimi utanipamo kidogo nisuuze rungu 😂
 
Nenda kaziprint kama gazeti umpe asome vizuri
 
Back
Top Bottom