Nahisi leo ndo nimeona chuma ulete live

Mkuu kwani wewe huwezi kubana ushuzi?

Huwezi kubana kojo?

Na vipi kuhusu kubana kicheko?
Jifunze KUBANA vyote hivyo utakuja kunishikuru!..
 
Nafundisha
huu unyamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
Wahi sasa
Huyu ni nani
Ni poor brain
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Njoo pm nikuelekeze jinsi ya kuweka vijedwali uje na 5k tu
Ila we jamaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Waambie waje niwafundishe

Mengine si kama haya hapa
Haya waambie waje na buku
 
Nafundisha huu unyamaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
Wahi sasa
Huyu ni nani
Ni poor brain
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Njoo pm nikuelekeze jinsi ya kuweka vijedwali uje na 5k tu
Nitumie elfu mbili kwa namba yangu ya vodacom kabla sijaweka wazi kwa watu jinsi ilivyo rahisi kutengeneza haya majedwali
 
Yaani ulikaa kutolea watu mimacho uone chuma ulete? Utaona mangapi?
 
Ila we jamaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Waambie waje niwafundishe

Mengine si kama haya hapa
Haya waambie waje na buku
Khaaaa nyieee hivi mmejulia wapi..
Mbona kila siku mlikua hamfanyi mpaka nimekuja kuwaonesha ahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja kuna mpya hyo taileta dadek
 
Wafanyabiashara huwa hawatoi chenchi hovyo na mara nyingi huwa ni mwiko kutoa
 
Tubabu twa hivyo ni tuchawi sana na tukada twa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…