Huko kote mnahangaika bure, meseji iko kwenye alivyovaa babuSema Tu ya moyoni wewe umemwogopa babu.
Kwanini..?
Kwasababu Ungeanza na babu ingekuwa poa Sana na muuza Duka angekuamini.
Chuma ulete ipo Sana Tu.
I can prove that.
Huwa sipendi kabisa hii tabia ya kufumbia macho jambo halafu mtu anaenda kijiweni kusimulia udaku. Ukiona jambo baya liseme au likemee,hata dini inatufundisha hivyo. Mleta mada katimiza wajibu wake kwa jamii vizuri sana pamoja na mhusika kukataa hiyo loss. Kingine ambacho nilitaka kuongezea hapa ni kwamba kuna tofauti kati ya chuma ulete na kuchanganya mahesabu kama ilivyoekezwa kwenye hili tukio. Chuma ulete ni pale ambapo mfano huyo mzee baada ya kutoa 2000 yake na kuhudumiwa, mwishoni kwenye kufunga hesabu unakuta pesa imepungua ikilinganishwa na mauzo. Mfano mpaka saa 10 muuza duka alikuwa na laki 2 hivyo mpaka anafunga ilitakiwa awe na zaidi ya laki 2 but anakuta ana laki moja tuu au pungufu ya hapo. Ina maana ile pesa ya babu imeenda kuchota pesa zingine.Ahahah kwahy wewe kaka ulishindwa kufanya kilichokupeleka dukani
Hizi mambo nlkuaga naskiaga tu kwa watu ebana imewahi ntokea mie mwaka jana tu hapo mwishoni kuna jamaa wale vijana wakitaa wale omba omba aliomba nimgee chochote kitu yuko vibaya ana njaa ilkua karibu na duka nmesimama kuna kitu nlkua naulizia bei, sa wakati natoa hela hivi ilikua silva hizi ndo nilimpa watu karibu angu hata mwenye duka walkua kama wananiangalia sana mpaka kuna kama roho ikawa inaiijia kunambia kuna kitu hakiko sawa but kwakua nilkua lesi na mambo yangu nikampa...Yaani nineenda dukani (kutoa hela kwa wakala maana ni muuza duka na wakala hapo hapo.nimekuta anahudumia watu wengine ikabidi nikae pembeni kwanza amalizane nao, sasa wakati nimetulia pembeni akaja mbabu kavaa kote barakashia tena inechanika chanika nimemsalimia hajaitiika hata.akamwuliza yule muuza duka nitapata chenji?
Muuza duka akamwambia sina checji babu! Yule mzes akamwambia basi nipe juice nimpelee mjukuu wangu ananisumbua sana,babu akanitizama machoni huku anatoa hela mfuko wa koti ule wa ndani.
Yule jamaa akatoa juice ya box ile ndogo akampa babu na yule babu akatoa shilingi elfu 2 akampa jamaa muuza duka.
Mimi hapo kimoyomoyo niokajiulizaina maana amaekuja kuomba chenji ya ya 2000 tuujioni hii ya nini?nikatulia,wakati huo yule muuza duka kashapokea hela nikaona anarudisha chenji 9500 moyo wangu ukafanya paaa!!!
Babu kapokea vhenjiakamwambia jamaa asnantee!jamaa nae akasema sawa babu karibu tena,babu huyooo kaondaka,mi nikamwambia jamaa mbona babu kakupa elfu 2 wee unamrudishia chenji elfu 9500 kulikoni?jamaa wa dukani huwezi amini kakataa katu katu kasema elfu kumi yaani nimebishana nae mpaka watu wakatishangaa nikatoa hela yangu huyio jikatimka ila jamaa nimemwonea huruma sana.
Aise kumbe hii ishu ipo tuweni makani
Sinaona kwenye editorWeee nani kakufundisha mkuu
Hebu nifanyie bure mkuu
Nafundisha huu unyama😂😂😂🙌🙌
Wahi sasa Huyu ni nani Ni poor brain 😂😂😂😂😂😂😂 Njoo pm nikuelekeze jinsi ya kuweka vijedwali uje na 5k tu
Si code hizo 😊Chora kwanza lako tulione😃😃
Chora kwanza lako tulione😃😃
| Unasema | Nichore |
| Nami nasema | Nachora |
| Leejay49 | Umeona ? |
Nimeona mkuu,. Hapo umepatia
Unasema Nichore Nami nasema Nachora Leejay49 Umeona ?
Haha ulidhani nitashindwaNimeona mkuu,. Hapo umepatia
Niseme tuu wewe pia ni geniusSinaona kwenye editor
Sasa hapo utajuaje ni chuma ulete na si mtu kaghafilika tu?Yaani nineenda dukani (kutoa hela kwa wakala maana ni muuza duka na wakala hapo hapo.nimekuta anahudumia watu wengine ikabidi nikae pembeni kwanza amalizane nao, sasa wakati nimetulia pembeni akaja mbabu kavaa kote barakashia tena inechanika chanika nimemsalimia hajaitiika hata.akamwuliza yule muuza duka nitapata chenji?