Mi ni mwanaume miaka 35 naomben ushaur mke wangu kila akibeba mimba znatoka ni mara 4 ss zimetoka na kuhatarisha maisha yake. Ila pia hata nikimpa mimba mwanamke mwingine nazo znatoka tu ni zaid ya wanawake 2 nimewapa mimba nazo zmetoka kila mmoja mimba mbili. Nahis kunakamchezo kachafu kalichezwa na mademu zangu wa zaman nisipate mtoto. JE NIFANYEJE ILI NIPATE MTOTO NA MKE WANGU? ushaur tafadhal, kejeli utanikatisha tamaa zaid. JION NJEMA
Njoo ufanyiwe maombi